HATIMAYE HESLB YATEMA MAJINA KWA 1YR WALIOKOSA MKOPO....udsm wapo 154 waliopata..

kundi ambalo halijapitiwa ni PREVIOUS LOANEES tu, mengine yote wamepitia, mpaka wale BUJET EXAUSTION wamepitiwa.
 
kundi ambalo halijapitiwa ni PREVIOUS LOANEES tu, mengine yote wamepitia, mpaka wale BUJET EXAUSTION wamepitiwa.
Kaka hata na mm nipo kundi hilo la Previous Loanees wakati ndio mwaka huu najiunga na chuo na sijawahi kupata mkopo. nimejaribu kupiga simu, kuwatumia email hamna majibu. boNinachohofia kuwa jina langu asijekua anatumia mtu alafu rungu la kulipa likaja kuniangukia mm. Wacha wasinipe mkopo lakini wasijekunibambikia deni lisilonihusu.
Naomba ushauri wandugu....
 
Umejuaje kama loanees hawajapitiwa?

samahan, nlkua sijafanya utafit vzr, hata P.LOANEES wapo, ila nadhani wataongeza majina mangine, kwa wale ambao walichelewa kutuma vithibitisho vya malalamiko yao heslb
 
Sasa stanb mtu wangu,mwenzako niko kijiji sana,pia sikupata taharifa kuhusu kuandika barua ya malalamiko hiv nitakumbukwa kweli.
 
Sasa stanb mtu wangu,mwenzako niko kijiji sana,pia sikupata taharifa kuhusu kuandika barua ya malalamiko hiv nitakumbukwa kweli.

huwez kukumbukwa labda, for my experience fanya nilivyo kushauri
 
Uwe unafikiria mda mwingine hii cyo facebook kupost mambo yasiyo na maana kwa mda huu,elimika ndugu yangu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…