Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kundi ambalo halijapitiwa ni PREVIOUS LOANEES tu, mengine yote wamepitia, mpaka wale BUJET EXAUSTION wamepitiwa.
vipi wale wa second round?
Kaka hata na mm nipo kundi hilo la Previous Loanees wakati ndio mwaka huu najiunga na chuo na sijawahi kupata mkopo. nimejaribu kupiga simu, kuwatumia email hamna majibu. boNinachohofia kuwa jina langu asijekua anatumia mtu alafu rungu la kulipa likaja kuniangukia mm. Wacha wasinipe mkopo lakini wasijekunibambikia deni lisilonihusu.kundi ambalo halijapitiwa ni PREVIOUS LOANEES tu, mengine yote wamepitia, mpaka wale BUJET EXAUSTION wamepitiwa.
Umejuaje kama loanees hawajapitiwa?
Kaka hata na mm nipo kundi hilo la Previous Loanees wakati ndio mwaka huu najiunga na chuo na sijawahi kupata mkopo. nimejaribu kupiga simu, kuwatumia email hamna majibu. boNinachohofia kuwa jina langu asijekua anatumia mtu alafu rungu la kulipa likaja kuniangukia mm. Wacha wasinipe mkopo lakini wasijekunibambikia deni lisilonihusu.
Naomba ushauri wandugu....
Sasa stanb mtu wangu,mwenzako niko kijiji sana,pia sikupata taharifa kuhusu kuandika barua ya malalamiko hiv nitakumbukwa kweli.
huwez kukumbukwa labda, for my experience fanya nilivyo kushauri
Budget exhaustd hamna hata
si kweli
Mbona huu uzi ni wa mwaka juz???????
Wewe EARPHONE unapandwa na baba yako..acha ujinga huo..
Aliye update huu uzi mbu-pu lake lina mbu-pu erosion