Hatimaye Hotel ya Mbunge wa Mbeya mjini Mh Joseph Mbilinyi 'Sugu' yafunguliwa

iliyomuingizia pesa kumiliki hiyo kitu.
Tatizo tunapenda kuonyesha tuna nini sio tumevipataje ili awape inspiration vijana anaowawakilisha huko.

mikopo
kilimo
ubunge kajichanga etc
natanguliza hongera kwake lkn
Soma mwanzo wa uzi.
Mtoa mada ameandika

May Allah bless Me and You
 
Sungu ni kati ya watu wapambanaji sana kwa hiyo ayo ni matunda ya upambaniji
 
Tunampa notice ya masaa 48 awe amebomoa kwa hiyari yake mwenyewe kwani amejengeka kinyume a sheria ya ardhi ya mwaka 1977 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2010.Pia ujenzi umekinzana na matakwa ya sheria ya mazingira.Hivyo tunamuamuru abomoe ndani ya saa 48
 
iliyomuingizia pesa kumiliki hiyo kitu.
Tatizo tunapenda kuonyesha tuna nini sio tumevipataje ili awape inspiration vijana anaowawakilisha huko.

mikopo
kilimo
ubunge kajichanga etc
natanguliza hongera kwake lkn
Alichukua mkopo crdb bank,jumlisha kujichanga,pia pesa za muziki nyingi alikua anazigeuza kufanya biashara nyingine..
 
Big Up hustler Sugu. Keep the fire burning !!

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…