Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana hiyo hotel.anabiashara gani huyu mwakilishi wa mbeya mjini.
Acha kukurupuka soma thread hiyo inajieleza ni mkopo kutoka CRDB.iliyomuingizia pesa kumiliki hiyo kitu.
Tatizo tunapenda kuonyesha tuna nini sio tumevipataje ili awape inspiration vijana anaowawakilisha huko.
mikopo
kilimo
ubunge kajichanga etc
natanguliza hongera kwake lkn
siwezi kuchukia vitu halali...Ana hiyo hotel.
Umechukia eh??
Anza na ya Kassim Majaliwa.
Nani? kakuambia hatafuti hela mkuu au chuki binafsi kwa SuguTafuta hela kijana sio nonsense hizi
Kamuulize,kwa sasa yupo mbeyaanabiashara gani huyu mwakilishi wa mbeya mjini.
Soma mwanzo wa uzi.iliyomuingizia pesa kumiliki hiyo kitu.
Tatizo tunapenda kuonyesha tuna nini sio tumevipataje ili awape inspiration vijana anaowawakilisha huko.
mikopo
kilimo
ubunge kajichanga etc
natanguliza hongera kwake lkn
Alichukua mkopo crdb bank,jumlisha kujichanga,pia pesa za muziki nyingi alikua anazigeuza kufanya biashara nyingine..iliyomuingizia pesa kumiliki hiyo kitu.
Tatizo tunapenda kuonyesha tuna nini sio tumevipataje ili awape inspiration vijana anaowawakilisha huko.
mikopo
kilimo
ubunge kajichanga etc
natanguliza hongera kwake lkn
Kabisa hamnazo wanabaki kuwashangiliaa wenzao wako kuchota pesa