Hatimaye Hotel ya Mbunge wa Mbeya mjini Mh Joseph Mbilinyi 'Sugu' yafunguliwa

mbona majengo ni kama hosteli mpya za magufuli za chuo kikuu cha dar es salaam?
 
Sio kama pesa yote ya ujenzi kaitoa CRDB nijuavyo mimi Sugu pia ana Malori ya kubeba mizigo.
 
Alichukua mkopo crdb bank,jumlisha kujichanga,pia pesa za muziki nyingi alikua anazigeuza kufanya biashara nyingine..
Sugu yupo kwenye industry ya usafirishaji muda sasa Nafikiri hivyo vyanzo kuondoa mkopo ni vya kusadikika
 
iliyomuingizia pesa kumiliki hiyo kitu.
Tatizo tunapenda kuonyesha tuna nini sio tumevipataje ili awape inspiration vijana anaowawakilisha huko.

mikopo
kilimo
ubunge kajichanga etc
natanguliza hongera kwake lkn
Kasema mkopo toka CRDB.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…