muku
JF-Expert Member
- Aug 23, 2014
- 312
- 77
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3]
Si useme Wasira au unamuogopa?Kuna Wabunge wapo Bungeni takribani miaka 20 au zaid na walikuwa mawaziri lakini bado hawana kitu kama cha Sugu,na wengine tukiwaona ni wakuhurumiwa,ampongeza sana Sugu kwa kujikaza kiume na Kisha kufanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sugu yupo kwenye industry ya usafirishaji muda sasa Nafikiri hivyo vyanzo kuondoa mkopo ni vya kusadikikaAlichukua mkopo crdb bank,jumlisha kujichanga,pia pesa za muziki nyingi alikua anazigeuza kufanya biashara nyingine..
Kasema mkopo toka CRDB.iliyomuingizia pesa kumiliki hiyo kitu.
Tatizo tunapenda kuonyesha tuna nini sio tumevipataje ili awape inspiration vijana anaowawakilisha huko.
mikopo
kilimo
ubunge kajichanga etc
natanguliza hongera kwake lkn