Hatimaye 'imevuja' rasmi Kujaa hadi 'Pomoni' vile kwa Mzee Mkapa 'Wapuuzi Day' kumbe ukikutwa nje unapewa Jezi ya 'Kubumba' na Kuingizwa bure!

Kwa hiyo wale wa Arusha waliokataa kuingia bure mechi ya Mikia walipewa nini kwenda kwa TL?
 
We funguafungua tu nyuzi zako hizo utakaa uchi siku sio nyingi.
 
Kama ile nyomi wengi wao ni mashabiki wa Yanga waliotoka huko walikotoka hadi uwanja wa taifa, halafu wakashindwa kuingia uwanjani, Yanga wakawapa jezi na kuwaingiza,,,,
Kwa hilo, Yanga wanastahili pongezi nyingi kwa kuwajali mashabiki wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…