stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 1,724
- 2,584
Amewatelekeza hamas huyo hana maana. Amechora michoro na mistari ya kila aina huko Gaza na Yahudi hakujali chochote. Mwisho akawalaumu hamas kuishambulia Israel huku akisahau kuwa aliwapongeza hamas kwa shambulio la 07.