S stonecutter JF-Expert Member Joined Jun 12, 2022 Posts 1,724 Reaction score 2,584 Feb 6, 2024 #21 Amewatelekeza hamas huyo hana maana. Amechora michoro na mistari ya kila aina huko Gaza na Yahudi hakujali chochote. Mwisho akawalaumu hamas kuishambulia Israel huku akisahau kuwa aliwapongeza hamas kwa shambulio la 07.
Amewatelekeza hamas huyo hana maana. Amechora michoro na mistari ya kila aina huko Gaza na Yahudi hakujali chochote. Mwisho akawalaumu hamas kuishambulia Israel huku akisahau kuwa aliwapongeza hamas kwa shambulio la 07.