Hatimaye Jamii Forums imenipa mchumba

Usikute umekulazimisha kumuanzishia uzi,hivi wakuu wamuwezi kuwa makauzu kwenye mapenzi mpaka demu ahisi kama haumpendi na mara nyingine aone unampenda?
 
Hongera sana,ila subiri kwanza usije kulianzisha,maana hayo mambo ya kuja nyumbani kukufulia ndio shetani anapenda sana,sasa hivi utaanza kutoa visababu,yuko hivi,yuko vile.Hayo unatakiwa kuyajua ukishaoa...
 
We usije ukawa umemchukua Antonnia wangu! Nitaua mtu
 
Hongera bwana... nadhani itakua ulishamweka ndani dadaetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…