Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Ni wivu tuTunasubiri thread nyingine ya kulia kama mbwa kachoka mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wivu tuTunasubiri thread nyingine ya kulia kama mbwa kachoka mkuu
Ni suala la muda tu [emoji23][emoji23] no wivuNi wivu tu
Wasomaji tupoo tutampa poleNi suala la muda tu [emoji23][emoji23] no wivu
Inatakiwa myafanye ata kabla ya ndoaKwenye kikao chetu tumekubaliana hayo majukumu tufanye tukishaingia kwenye ndoa
Atapewa pole na makavu liveWasomaji tupoo tutampa pole
Usikute umekulazimisha kumuanzishia uzi,hivi wakuu wamuwezi kuwa makauzu kwenye mapenzi mpaka demu ahisi kama haumpendi na mara nyingine aone unampenda?Unjani sabuwona
Wakuu kiukweli mimi ni mtu wa kushukuru katika maisha yangu Iwe neema kubwa kubwa au ndogo ndogo wakuu ninayo furaha kuwatangazia kuwa nimempata mchumba miss ...... Jina lake Linaanzia na A.
Wakuu after struggle ya almost 3 months mtoto namfuatilia bila matokeo yoyote yale but now nimemkamata miss A.
Nimemuahidi siwezi kumchezea mimi na yeye ni Pete na kidole. Muda wowote naenda kumtroduce nyumbani japo lakini zangu ndugu na jamaa wanamjua but haijawa officials.
Wakuu asiwaambie mtu humu ndani Kuna mawife material aiseee japo ana ufeminism sana ila ni mpambanaji sana.
Kwenye uchumba tu amekuja kunipikia nyumbani mara kwa mara,kunifulia mara kwa mara n.k japo yupo sana ila ananifanyia nione nimezaliwa upya .! Wakuu Mapenzi matamu sana.
Nawakaribisha wakuu wote kwenye tukio la kumvesha Pete my only and one ♥ wangu.
"Life is beautiful 😍 thing"
Wivu unakusumbua! Mwenye wivu ajinyongeUsikute umekulazimisha kumuanzishia uzi,hivi wakuu wamuwezi kuwa makauzu kwenye mapenzi mpaka demu ahisi kama haumpendi na mara nyingine aone unampenda?
Sasa hiyo inaitwa nini? Kumuombea mwenzio mabaya huo ni wivu mkuuNi suala la muda tu [emoji23][emoji23] no wivu
Kama unaona hivyo basi 😂😂😂Wivu unakusumbua! Mwenye wivu ajinyonge
Hapana aisee hakuna kuwa house girl kabla haujaingia kwenye ndoa ufanye makazi weeeh mwisho wa siku anakuja kuolewa mwingineInatakiwa myafanye ata kabla ya ndoa
Hongera sana,ila subiri kwanza usije kulianzisha,maana hayo mambo ya kuja nyumbani kukufulia ndio shetani anapenda sana,sasa hivi utaanza kutoa visababu,yuko hivi,yuko vile.Hayo unatakiwa kuyajua ukishaoa...Unjani sabuwona
Wakuu kiukweli mimi ni mtu wa kushukuru katika maisha yangu Iwe neema kubwa kubwa au ndogo ndogo wakuu ninayo furaha kuwatangazia kuwa nimempata mchumba miss ...... Jina lake Linaanzia na A.
Wakuu after struggle ya almost 3 months mtoto namfuatilia bila matokeo yoyote yale but now nimemkamata miss A.
Nimemuahidi siwezi kumchezea mimi na yeye ni Pete na kidole. Muda wowote naenda kumtroduce nyumbani japo lakini zangu ndugu na jamaa wanamjua but haijawa officials.
Wakuu asiwaambie mtu humu ndani Kuna mawife material aiseee japo ana ufeminism sana ila ni mpambanaji sana.
Kwenye uchumba tu amekuja kunipikia nyumbani mara kwa mara,kunifulia mara kwa mara n.k japo yupo sana ila ananifanyia nione nimezaliwa upya .! Wakuu Mapenzi matamu sana.
Nawakaribisha wakuu wote kwenye tukio la kumvesha Pete my only and one ♥ wangu.
"Life is beautiful 😍 thing"
We usije ukawa umemchukua Antonnia wangu! Nitaua mtuUnjani sabuwona

Unjani sabuwona ❎Unjani sabuwona