Hatimaye jana uso kwa uso huyu Kicheche na cha moto kakipata

Duh...nilidhani kicheche kwa maana ya mama huruma
 
Hapa kuku angekua kala kicheche ndio ingekua habari usirudie siku nyingine kutujazia nzi humu jf
 
Huyo ni Nguchiro, kicheche ana rangi nyeupe kuanzia utosini hadi mkiani na ana mkia mnene mno.

Huyo uliyemuua ni hatari mno kama akiamua kujihami, pia anakula nyoka wa aina yeyote
Ni mkali sana, alinidindia pona yangu nilikuwa na rungu la maana.
 
Huyo mdudu anaogopa mtu ila akiona amezidiwa hujihami na ndiyo kafanya hivyo.

Huyo ndiye kiboko ya nyoka wote wenye sumu, anawala
Kiukweli ni mdudu hatari sana, dakika,moja alikuwa kauwa vifaranga wawili anang'ata na kudondosha tuuh ni katili mno aisei..
 
Wewe nguchiro huwajui mkuu..! Nguchiro kwanza hawatembei usiku, pili wao hutembea kwa makundi na wanamistari miria iliyofifia..! Ni waoga sana..
Anachokueleza jamaa ni kweli, huyo ni aina ya Nguchiro. Mkia huo ni alama tosha, kicheche ana mkia mnene sana na una rangi nyeupe na nyeusi.

Hiyo ni specie ya Nguchiro, si kila mara wanatembea makundi



Kicheche ni huyu

[emoji116]
 
Anachokueleza jamaa ni kweli, huyo ni aina ya Nguchiro. Mkia huo ni alama tosha, kicheche ana mkia mnene sana na una rangi nyeupe na nyeusi.

Hiyo ni specie ya Nguchiro, si kila mara wanatembea makundi



Kicheche ni huyu

[emoji116]
Nguchiro kwanza hawali kuku, ni waoga mno na huwa wanatembea kwa makundi, hawa hapa chini[emoji116][emoji116]
Huyu ni tofauti kabisa[emoji116][emoji116]
Huyu kicheche mkuu ingawa vicheche nao wanaspicies nyingi.
 
Sasa mimi ninapoishi ni Dar na Nguchiro wa aina hiyo nawaona sana, hao uliyowaweka pichani hapa jijini sidhani kama wapo. Huyo uliyemuua alishawahi kunitia hasara kipindi nafuga njiwa miaka kadhaa nyuma, anakata kichwa na kunyonya damu tu.


Hata huyo ni mwoga kama wengine ukimrupua anakimbia, alikudindia kwa kuwa ulimzidi ujanja akawa hana njia ya kutorokea. Mnyama yeyote anayetumia kucha akiona hatari na hana pa kukimbia lazima akugeuzie kibao, kama huamini jaribu kumpiga paka akose mahali pa kutorokea kama hajatoboa macho yako na kucha.


Hiyo ishu ya kukugeuzia kibao isikufanye uamini ni kicheche, hapa ninapoishi ninawaona sana Nguchiro na si kila mara wapo makundi. Ninakaa eneo ambalo kuna vichaka na hata mashimo yao, hebu angalia jamii zote za Nguchiro zinazopatikana Africa halafu fananisha mikia yao na ya huyo uliyemuua
 
Umenikumbusha week iliyopita aisee kuna kicheche nilitaka kumuua aliunguruma kama simba nikambia nikajua labda utakuwa uchawi sio kwa mlio ule halafu akawa kama ananifuata hivi hizo nduki sio za tz nilizozitoa
 
Umenikumbusha week iliyopita aisee kuna kicheche nilitaka kumuua aliunguruma kama simba nikambia nikajua labda utakuwa uchawi sio kwa mlio ule halafu akawa kama ananifuata hivi hizo nduki sio za tz nilizozitoa
Huhuhuhuh...! Kuna vicheche wanaviburi sana..![emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…