Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
ndio.We unaweza kunila wewe?
tena bila kutumia vumbi la kongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio.We unaweza kunila wewe?
Ha ha ha haya banandio.
Ata huyu siyo aisei, kaangusha viranga wawili faster in a minute.. Mama yao alimshinda kamtia jeraha mgongoni.Vicheche nuksi sana... Ila kuna yule mwingine anakamata anachinja hlf ananyonya damu tu , hali nyama hata kidogo... sijui anaitwaje
Sijakuelewa hapa.Naona wewe unataka kuambiwa ndiyo, adui wa alibino..
kwahiyo huyo aloua anakesi ya kujibu?Nyara hiyo..!
Mfanye kitoweoMuda sasa takribani mwaka na miezi nasumbuana na huyu kicheche. Kicheche huyu bwana ni kama alikuwa anatumwa, amekula viranga na kuku wangu sana, huwa anafumua nyavu za banda na kutinga ndani usiku, anasomba vifaranga kimyakimya nikiamka mama kuku hana viranga.
Mara chache sana huwa inatokea mama kuku akistuka nitaamshwa na mayowe makubwa natoka nduki bandani mara mlango ukilia tu, huyo anasepa.
Sasa jana shetani wake kazidiwa ujanja na Mungu wangu akamtuma mapema sana, kabla ya saa mbili maana amezoea huwa anazamia mida ya wachawi usiku wa manane, jana nikiwa nipo nje napunga upepo natega nikaone taarifa ya habari nikasikia kelele za mama kuku, nikatoka nduki hadi bandani abadani USO KWA USO na huyo mbaya wangu kicheche, nilichofanya nikazima taa na kuwasha hivyo hali ile ili mchanganya sana KICHECHE akapotea njia yake aliyochonga kwa pesa ya makinikia.
Mungu saidia nikakimbilia upande alipo chonga njia, ile anataka apande nilimpa buti la haja, akatoa mlio kama simba, kidogo nijikojolee kujikaza kiume nikamuita mshikaji wangu njoo huku vita ni vita mura takenya mura waituuh..(hapa najua ni akina mwita na bhoke wameelewa).
Kicheche kanichimba biti, na Mungu saidia nikapata kipande cha ubao nikaenda naye SAKO KWA BAKO anakala rugu ya kichwa mara chini ila sema ukweli hii vita ilikuwa kubwa mno..! Mungu saidia nikawa nimeshinda vita na kicheche mwenyewe huyu hapa chini[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 621811View attachment 621812View attachment 621813View attachment 621814
Wataalam mnaojua vicheche njooni mtwambie huyu kicheche wa namna gani, na anawezaje kuishi mjini kabisa dsm, katikati ya mji maana sikai maeneo ya mashambani.
Nasubiri vita iendelee maana naamini atakuwa na familia niombeni nishinde vita hii.
ASANTENI .
Huo sio ubalozi mkuu. Hiyo ndo ikulu yenyewe...! Yaani hapo haruhusiwi hata kugusa geti..! [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]