Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni Nguchiro, kicheche ana rangi nyeupe kuanzia utosini hadi mkiani na ana mkia mnene mno.Ni mdudu gani??
Ni mkali sana, alinidindia pona yangu nilikuwa na rungu la maana.Huyo ni Nguchiro, kicheche ana rangi nyeupe kuanzia utosini hadi mkiani na ana mkia mnene mno.
Huyo uliyemuua ni hatari mno kama akiamua kujihami, pia anakula nyoka wa aina yeyote
Huyo mdudu anaogopa mtu ila akiona amezidiwa hujihami na ndiyo kafanya hivyo.Ni mkali sana, alinidindia pona yangu nilikuwa na rungu la maana.
Kiukweli ni mdudu hatari sana, dakika,moja alikuwa kauwa vifaranga wawili anang'ata na kudondosha tuuh ni katili mno aisei..Huyo mdudu anaogopa mtu ila akiona amezidiwa hujihami na ndiyo kafanya hivyo.
Huyo ndiye kiboko ya nyoka wote wenye sumu, anawala
Anachokueleza jamaa ni kweli, huyo ni aina ya Nguchiro. Mkia huo ni alama tosha, kicheche ana mkia mnene sana na una rangi nyeupe na nyeusi.Wewe nguchiro huwajui mkuu..! Nguchiro kwanza hawatembei usiku, pili wao hutembea kwa makundi na wanamistari miria iliyofifia..! Ni waoga sana..
Nguchiro kwanza hawali kuku, ni waoga mno na huwa wanatembea kwa makundi, hawa hapa chini[emoji116][emoji116]Anachokueleza jamaa ni kweli, huyo ni aina ya Nguchiro. Mkia huo ni alama tosha, kicheche ana mkia mnene sana na una rangi nyeupe na nyeusi.
Hiyo ni specie ya Nguchiro, si kila mara wanatembea makundi
Kicheche ni huyu
[emoji116]
![]()
Sasa mimi ninapoishi ni Dar na Nguchiro wa aina hiyo nawaona sana, hao uliyowaweka pichani hapa jijini sidhani kama wapo. Huyo uliyemuua alishawahi kunitia hasara kipindi nafuga njiwa miaka kadhaa nyuma, anakata kichwa na kunyonya damu tu.Nguchiro kwanza hawali kuku, ni waoga mno na huwa wanatembea kwa makundi, hawa hapa chini[emoji116][emoji116]View attachment 623530View attachment 623531
Huyu ni tofauti kabisa[emoji116][emoji116]View attachment 623532
Huyu kicheche mkuu ingawa vicheche nao wanaspicies nyingi.
Huhuhuhuh...! Kuna vicheche wanaviburi sana..![emoji125][emoji125][emoji125]Umenikumbusha week iliyopita aisee kuna kicheche nilitaka kumuua aliunguruma kama simba nikambia nikajua labda utakuwa uchawi sio kwa mlio ule halafu akawa kama ananifuata hivi hizo nduki sio za tz nilizozitoa
Hahhahahaha acha tuHuhuhuhuh...! Kuna vicheche wanaviburi sana..![emoji125][emoji125][emoji125]