Hatimaye Jubilee team Nairobi imekamilika, Sonko ameshinda

Nairobi hatuongozwi na misingi ya ukabila, ni mji mkubwa zaidi ya yote ukanda wa EAC na kati na una watu wa matabaka mbali mbali wakiwemo Watanzania.
Sonko asili yake Ukambani, Miguna ametokea Ujaluoni na Shebesh ana asili ya Kikikuyu.

Lakini Nairobi si ni ya Wakikuyu, si iko central Kenya? Au???
 
Wakenya nawaaminia,hamna mchezo ktk masuala ya maslahi ya Taifa ndio maana mmeendelea.

Vijana bado wapo mkuu,wanachapa kazi na maisha yanaendelea kana kwamba hakuna kilichotokea.
Tanzania hii isikieni tu,ni nchi ya hovyo sana.

Acha hizo wewe!
 
Namkubari sana huyu sonko.pongezi kwake.

sijui kwanini,kila nikimtazama,nahisi ana kama vichembe vichembe vya utz ndani yake.

namfananisha na vijana wa kitz waliofanikiwa kifedha baada ya kusota sana.
 
Namkubari sana huyu sonko.pongezi kwake.

sijui kwanini,kila nikimtazama,nahisi ana kama vichembe vichembe vya utz ndani yake.

namfananisha na vijana wa kitz waliofanikiwa kifedha baada ya kusota sana.
Yule jamaa atakuwa mbongo yule,dah!
 
Yule jamaa atakuwa mbongo yule,dah!
umeonaeeee....mjanja mjanja kama wale vijana maarufu wa town wanaopaki Magari yao pale kinondoni vijana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kaka mbona unajibu hata usichoukizwa?, mi nilitaka kujua makabila ya hao wagombea tu kaka, yupi hapo ni wa NASA?

Nimewaambia mara nyngi unapouliza swali inabidi kutulia ujibiwe na sio kuelekeza unavyotaka ujibiwe, kwa wewe kuuliza ina maana hujui jibu hivyo subiri ujibiwe. Katika kukujibu inabidi kuongeza maneno ya kukupa picha nzima ili kukuondolea yale ulikaririshwa, sasa kwa mfano tu, hapo umeuliza yupi wa NASA tayari inaonyesha inabidi kukupa darasa nzima mpangilio wa kisiasa wa Nairobi.

NASA wao wana line up yao, humu nieleta wagombeaji wa Jubilee.
 
Natamani vita itokee Kenya, ili wamwage damu angalau mwaka huuu
 
Lakini Nairobi si ni ya Wakikuyu, si iko central Kenya? Au???

Nairobi ipo Central??? Nafikiri kufikia hapo umedhihirisha mambo ya Kenya huwa unakaririshwa vijiweni.
 
Wakenya nawaaminia,hamna mchezo ktk masuala ya maslahi ya Taifa ndio maana mmeendelea.

Vijana bado wapo mkuu,wanachapa kazi na maisha yanaendelea kana kwamba hakuna kilichotokea.
Tanzania hii isikieni tu,ni nchi ya hovyo sana.
Ni kweli kabisa.
 
safari hii nimepitwa sana na siasa za kenya.naomba utupe darsa dogo kuhusu uchaguzi huu unaondelea sasa.
 
Wakenya nawaaminia,hamna mchezo ktk masuala ya maslahi ya Taifa ndio maana mmeendelea.

Vijana bado wapo mkuu,wanachapa kazi na maisha yanaendelea kana kwamba hakuna kilichotokea.
Tanzania hii isikieni tu,ni nchi ya hovyo sana.
nifah ulishawahi ishi mji wowote kenya angalau kwa miezi 6 au zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…