Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Nairobi hatuongozwi na misingi ya ukabila, ni mji mkubwa zaidi ya yote ukanda wa EAC na kati na una watu wa matabaka mbali mbali wakiwemo Watanzania.
Sonko asili yake Ukambani, Miguna ametokea Ujaluoni na Shebesh ana asili ya Kikikuyu.
Lakini Nairobi si ni ya Wakikuyu, si iko central Kenya? Au???