Hatimaye Jubilee team Nairobi imekamilika, Sonko ameshinda

This is the guy who wants to convert uhuru park into a matatu stage. i wonder how he won the ticket. This guy is only good at being an MP where hooliganism thrives.

Sonko may be popular with the masses but he is going to seriously mess Nairobi yetu
 
Jamani nani anafanya ndugu yangu Jaguar analia lia hapo Naii.
 
This is the guy who wants to convert uhuru park into a matatu stage. i wonder how he won the ticket. This guy is only good at being an MP where hooliganism thrives.

Sonko may be popular with the masses but he is going to seriously mess Nairobi yetu

Bro... Nairobi right now needs practical solutions, we have had so many reports and strategies all gathering dust on the shelves.
Drive that Uhuru park and see our jobless youths sleeping after walking all day seeking employment. I am sure PK would have done a good job, but we now have Sonko whom we have seen some stuffs he has achieved. Unless we vote Kidero back again and end up having a governor preaching big words and doing so little.
 
Bro, mimi naishi Nairobi na mzaliwa wa jiji pia. Lakini hapa nitamuunga Boda254 mkono na kusema ushabiki wa Sonko haufai kamwe na shughuli za kuendesha jiji la Nairobi. Japo ameshinda nomination, tujiulize maswali mengi kuhusu tabia zake. Kwanza kabisa hii unachoita kujituma kwake na ubishi kwangu mje ni uhuni. Na amekuwa na hiyo sifa tangu enzi. Binafsi nimependekeza kwwnye thread ingine Nairobi lisimamiwe na jopo/commission ya wataalam wa fani mbali mbali. Huyu mjamaa Sonko kwangu mie hafai, hana taaluma na ujuzi litakalomwezesha kuendesha jiji. Sitaki popularity nataka results na modern management. Na mimi najihesabu kwenye professional class ya wakenya , naelewa vizuri jinsi ulosefu au pungufu ya weledi unavyoweza adhiri shughuli za binadamu. Ikumbukwe pia, japo amewasaidia watu, je ni lipi muhimu kati ya kumpa mtu samaki au kumfunza uvuvi? Aliulizwa hilo swali na Caroline Mutoko akaishia na gharika la matusi kwake ,sitaisahau.

Senti zangu.
 
04baf77d627b0682b55f3dc720fff49a.jpg

MK254 huyo chris kirubi amekula githeri ya wapi?
 
Nakubaliana na mtazamo wako kwa njia zote, ila mwsho wa siku kama nilivyotaja awali, Wakenya wa leo hawatabiriki na wameonyesha kukerwa na viongozi wenye maneno matupu bila vitendo. Sonko amezindua miradi mingi ya vijana kwenye vitongoji, labda inawezekana tukasema hiyo haitoshi, lakini cha msingi ni kwamba anaonekana kwa vitendo.

Nairobi ni jiji la kisasa lenye maendeleo kushinda miji yote ya ukanda wa Afrika Mashariki na Mashariki mwa Afrika na Kati, hivyo ni mji unaopaswa kukabidhiwa mtu mwenye uelewa wa juu kwenye taaluma za mpango mji, nguvu kazi n.k. Mwenye uwezo wa kuzindua mikakati endelevu na kuhakikisha utekelezaji wake. Tatizo tumeishia kuona viongozi waliojaa nadharia...basi
 
Back
Top Bottom