Razaky
Member
- Mar 19, 2015
- 97
- 39
coomer saitan matter coreNatamani vita itokee Kenya, ili wamwage damu angalau mwaka huuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
coomer saitan matter coreNatamani vita itokee Kenya, ili wamwage damu angalau mwaka huuu
This is the guy who wants to convert uhuru park into a matatu stage. i wonder how he won the ticket. This guy is only good at being an MP where hooliganism thrives.
Sonko may be popular with the masses but he is going to seriously mess Nairobi yetu
Bro, mimi naishi Nairobi na mzaliwa wa jiji pia. Lakini hapa nitamuunga Boda254 mkono na kusema ushabiki wa Sonko haufai kamwe na shughuli za kuendesha jiji la Nairobi. Japo ameshinda nomination, tujiulize maswali mengi kuhusu tabia zake. Kwanza kabisa hii unachoita kujituma kwake na ubishi kwangu mje ni uhuni. Na amekuwa na hiyo sifa tangu enzi. Binafsi nimependekeza kwwnye thread ingine Nairobi lisimamiwe na jopo/commission ya wataalam wa fani mbali mbali. Huyu mjamaa Sonko kwangu mie hafai, hana taaluma na ujuzi litakalomwezesha kuendesha jiji. Sitaki popularity nataka results na modern management. Na mimi najihesabu kwenye professional class ya wakenya , naelewa vizuri jinsi ulosefu au pungufu ya weledi unavyoweza adhiri shughuli za binadamu. Ikumbukwe pia, japo amewasaidia watu, je ni lipi muhimu kati ya kumpa mtu samaki au kumfunza uvuvi? Aliulizwa hilo swali na Caroline Mutoko akaishia na gharika la matusi kwake ,sitaisahau.Bro... Nairobi right now needs practical solutions, we have had so many reports and strategies all gathering dust on the shelves.
Drive that Uhuru park and see our jobless youths sleeping after walking all day seeking employment. I am sure PK would have done a good job, but we now have Sonko whom we have seen some stuffs he has achieved. Unless we vote Kidero back again and end up having a governor preaching big words and doing so little.
Bro, mimi naishi Nairobi na mzaliwa wa jiji pia. Lakini hapa nitamuunga Boda254 mkono na kusema ushabiki wa Sonko haufai kamwe na shughuli za kuendesha jiji la Nairobi. Japo ameshinda nomination, tujiulize maswali mengi kuhusu tabia zake. Kwanza kabisa hii unachoita kujituma kwake na ubishi kwangu mje ni uhuni. Na amekuwa na hiyo sifa tangu enzi. Binafsi nimependekeza kwwnye thread ingine Nairobi lisimamiwe na jopo/commission ya wataalam wa fani mbali mbali. Huyu mjamaa Sonko kwangu mie hafai, hana taaluma na ujuzi litakalomwezesha kuendesha jiji. Sitaki popularity nataka results na modern management. Na mimi najihesabu kwenye professional class ya wakenya , naelewa vizuri jinsi ulosefu au pungufu ya weledi unavyoweza adhiri shughuli za binadamu. Ikumbukwe pia, japo amewasaidia watu, je ni lipi muhimu kati ya kumpa mtu samaki au kumfunza uvuvi? Aliulizwa hilo swali na Caroline Mutoko akaishia na gharika la matusi kwake ,sitaisahau.
Senti zangu.