ππaisee same herez shida naona ni kama uhuru uta isha π
Huko hali ganiSijambo kaka habari yako
Sasa kipi kinakufanya ucheke... Eeeh kipi hapo kinakuchekesha dada ππππππSiku zinavyozidi kwenda na tatizo lako linazidi kuwa kubwa.! π₯
Nipo njema kaka nipangilieHuko hali gani
Kama wewe ulizaliwa ili uje kupigwa na vitu vizito ni wewe,Uzuri uko muda mrefu humu so usiseme hukuambiwa ! πππ
Wala usije ukatuomba ushauri π€£ ukishapigwa na kitu kizito chenye ncha kali
Mbona unacheka mkuu...ππππCc
Unesco
Unicef
Chadema
Kwa bebe mke mkuuUroda toka kwa nani πΈ
Maandalizi kabambe ya kuchapiwa haya.Wakuu Herini ya Pasaka na Poleni kwa msiba Wa Pope.
Kama nikivyowaahidi kwenye ule Uzi wangu wa Nyuma kama hujausoma au hukumbuki (Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali) sasa ni Rasmi wiki hii nitafunga ndoa Rasmi na Judi wang
Tumepitia mitihani na misukosuko mingi, Mungu ametubariki pia baraka za Rohoni na mwilini tuna Mengi ya Kushuhudia lakini ndoa yeti itakuwa ushuhuda mzuri pia.
Sasa Mungu anakwenda kutuunganisha upya na tutafanyika mwili mmoja.
Ni hayo machache TU kwa leo,kila jambo linawezekana.
Mungu akukumbuke na wewe pia update mtu sahihi mutakayeelewana,na kukubaliana kutokubaliana kwa maslahi mapana ya family.
PoleKama wewe ulizaliwa ili uje kupigwa na vitu vizito ni wewe,
Maisha yako sio maisha ya mtu mwingine
Simulizi ya maisha yako si simulizi ya maisha ya mtu mwingine
Kila mmoja anayo safari yake ya maisha ambayo inatengeneza hadithi nzuri au mbaya.
hiyo ni nzuri coz una kuwa msikivu na mtulivu, napenda familia kwani ndio ime tujenga na naelewa umuhimu wake.ππ
Mimi tatizo sio Uhuru, napenda niulizwe unakwenda wapi, na kwanini? Kiufupi napenda kuwa chini ya mtu, nilindwe.
Tatizo lipo kwenye vichangamoto vya hapa na pale.
Majukumu ya hapa na pale, si una jua Tena umri wangu bado so na double my work.Umekuwa kimya kidg muheshimiwa Raisi ila nashukuru kama uko poa
Hard working man πMajukumu ya hapa na pale, si una jua Tena umri wangu bado so na double my work.
Kuna namna naonaga ambition na optimism ndani yangu vita nisumbua kidogo, ila nita fanyaje ikiwa this is how I am !Hard working man π
Aaah inabidi uishi kwenye line unayoona ni sahihi mkuu πKuna namna naonaga ambition na optimism ndani yangu vita nisumbua kidogo, ila nita fanyaje ikiwa this is how I am !
MaashaAllah, hongera sana mkuu what a milestoneWakuu Herini ya Pasaka na Poleni kwa msiba Wa Pope.
Kama nikivyowaahidi kwenye ule Uzi wangu wa Nyuma kama hujausoma au hukumbuki (Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali) sasa ni Rasmi wiki hii nitafunga ndoa Rasmi na Judi wang
Tumepitia mitihani na misukosuko mingi, Mungu ametubariki pia baraka za Rohoni na mwilini tuna Mengi ya Kushuhudia lakini ndoa yeti itakuwa ushuhuda mzuri pia.
Sasa Mungu anakwenda kutuunganisha upya na tutafanyika mwili mmoja.
Ni hayo machache TU kwa leo,kila jambo linawezekana.
Mungu akukumbuke na wewe pia update mtu sahihi mutakayeelewana,na kukubaliana kutokubaliana kwa maslahi mapana ya family.
ndio hivyo tena, ila niki sema ni relax mbona naishi vyema tu ila ku relax kwangu ni ndotoAaah inabidi uishi kwenye line unayoona ni sahihi mkuu π