Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Mambo ni mengi kaka mpaka unaona hivi utapata lini furaha unayoona inafaa.... Ila ndo maisha yalivyo Kuna wakati utarelax fresh tuundio hivyo tena, ila niki sema ni relax mbona naishi vyema tu ila ku relax kwangu ni ndoto
Usiache KUPIGA Gita na vinanda kanisani baada ya ndoa, unaimbaga sauti ya ngapi bro fundiWakuu Herini ya Pasaka na Poleni kwa msiba Wa Pope.
Kama nikivyowaahidi kwenye ule Uzi wangu wa Nyuma kama hujausoma au hukumbuki (Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali) sasa ni Rasmi wiki hii nitafunga ndoa Rasmi na Judi wang
Tumepitia mitihani na misukosuko mingi, Mungu ametubariki pia baraka za Rohoni na mwilini tuna Mengi ya Kushuhudia lakini ndoa yeti itakuwa ushuhuda mzuri pia.
Sasa Mungu anakwenda kutuunganisha upya na tutafanyika mwili mmoja.
Ni hayo machache TU kwa leo,kila jambo linawezekana.
Mungu akukumbuke na wewe pia update mtu sahihi mutakayeelewana,na kukubaliana kutokubaliana kwa maslahi mapana ya family.
AmeenIkawe kheri
Sshukrani mkuuKila la heri mkuu
Haina shida mkuu ratiba itaendeleaIla ukumbuke pia jumamosi ni mazishi ya Pope
Barikiwahongera mwaya, kila la heri.....
KaribuDogo ndogo hazihitaji hizo mbwembwe
Safari ilikuwa ndefu mzee wangu had hapa nafikiri tunaweza kusonga mbeleUzuri uko muda mrefu humu so usiseme hukuambiwa ! πππ
Wala usije ukatuomba ushauri π€£ ukishapigwa na kitu kizito chenye ncha kali
Kabisa Ni neema tuHongera sana mkuu haikuwa rahisi kufika mlipofika
Kabisa mkuuHongera sana ni jambo la kheri....
AmeenKila la kheri kwenu, ikawe ndoa njema na yenye baraka.
Sauti ya tatuUsiache KUPIGA Gita na vinanda kanisani baada ya ndoa, unaimbaga sauti ya ngapi bro fundi
Hii ndio taarifa shangaz sogea mgombani sasaMashangazi hatuna taarifa.
Kabisa mkuuAll the best,
Ndoa ni Jambo la kheri,
Hahaha"Kataa ndoa" wamepigwa bao!
DuuuhHongera sana mkuu,... lakini ukihitaji mapanga yaliyoNOLEWA kabisa kwa bei cheeee sana,... usisite kuniungisha ndugu yangu,... thanks in advance πππ
Pamoja sanaKila la kheri