Hatimaye Jumamosi hii nafunga ndoa Rasmi

Katika hilo la ndoa niseme tu POLE SANA. Unachotumia nguvu kubwa kukitafuta soon UTAKIPATA.
#KATAANDOA #KATAAWIZINAUTAPELI
 
Kila jambo linakuwa na matokeo chanya au hasi no lazima tukumbane nayo.
 
Asante sana
 
Hongereni sana kwa kuchukua hatua hii ya muhimu maishani mwenu.

Nawatakia kila la heri katika maandalizi ya ndoa yenu na maisha yenu mapya pamoja.

Aliyekiunganisha Mbinguni, asitokee wa kukitenganisha Duniani isipokuwa Kifo pekee.
Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…