Hatimaye Jumamosi hii nafunga ndoa Rasmi

Sasa wewe uliwaonaje?
Si wanasema huwezi kuwaona pasipo kutumia catalyst?

Ama imani yako iko juu?

Inawezekana ni uandishi tu.
I still don't know, ila wali rudi wana chechemea. Japo nili shindwa ku move pia.

sote tuli ganda Kama dakika 30 hivi

Ina wezekana means? Probably? Hahaha labda lakini.
 
Hahaha!
Sifa yangu kubwa ni observer.
Siyo mtu wa company.
Najumuika tu pale ninapokaribishwa, kama sijakaribishwa sisogei.
Ninauwezo wa kuishi mahali zaidi ya mwaka mmoja na nisifahamike.
sio mbaya, maana hata nami Kuna muda napenda kuwa mwenyewe tu.(Ila Kuna saa Ina boa mno).

Hahaha yaani Mwaka mmoja na usi fahamike, huo Sasa ndio u ghost wenyewe!
 
sio mbaya, maana hata nami Kuna muda napenda kuwa mwenyewe tu.(Ila Kuna saa Ina boa mno).

Hahaha yaani Mwaka mmoja na usi fahamike, huo Sasa ndio u ghost wenyewe!
Hahaha!
Kuna mahali bwana nimewahi kuishi, kila siku wenyeji wangu wananishangaa, sina mgeni anayekuja kunitembelea wala sikai nje😁.
 
😁😁😁😁

Mkuu umenifanya nicheke kwa sauti.
Nashangaza eeh?
Ugenini.
Ehh una nishangaza kidogo, ila mtu wa nyumbani ni mzuri pia kwani nyumba I salama.

Sasa kanisani au msikitini nako uli kosa hata rafiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…