Hatimaye kaburi la shujaa Dedan Kimathi lapatikana

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Kimathi alikuwa kiongozi wa Maumau ambao walipigania uhuru ili tuweze kujinasua kutoka kwa ukatili wa mabeberu. Kimathi alikamatwa na kuhukumiwa kifo na Wabeberu. Kimathi alinyongwa mwaka wa 1957 na kuzikwa katika gereza la Kamiti ambako kaburi lake limepatikana leo baada ya kutafutwa kwa miaka mingi.

=======

62 years after hanging: Dedan Kimathi grave found

Dedan Kimathi Waciuri was hanged and buried in an unmarked grave at Kamiti Maximum Prison in Nairobi. [File, Standard]

The burial site of freedom hero Field Marshal Dedan Kimathi Waciuri has been finally identified.

Kimathi was executed on February 18, 1957, effectively ending the Mau Mau war of independence, one of Africa’s most vicious peasant revolutions.

After the hanging, he was interred in an unmarked grave at Kamiti Maximum Prison in Nairobi.

And just six days to his would-be 99th birthday, the gravesite has been identified at the prison.

A foundation in his name made the claims today saying the discovery followed ‘numerous concerted efforts, spearheaded by the Government of the Republic of Kenya’.

“This development is not just great news for the Dedan Kimathi family but also the larger freedom struggle heroes fraternity,” the foundation’s CEO Evelyn Wanjugu Kimathi said.

Give my husband decent burial, Mukami pleads
Wanjugu added that they will now seek orders to exhume the remains.

“We now remain fingers crossed as we wait for Chief Justice David Maraga to allow for the excavation and exhumation of the Kimathi’s remains for a decent burial,” she said.

Prison officials are yet to comment on the discovery.

Kimathi, a former soldier and primary school teacher, a diary and timber clerk, a pig farmhand with a missing left index finger, led the Mau Mau rebellion against the British Colonial Government in Kenya in the 1950s.

After his capture by a colonial officer, Ian Henderson on the edges of Mt Kenya Forest, he was charged with unlawful possession of a firearm and ammunition which was against regulation 8A (1) of the Emergency Regulation in 1952.

He was sentenced to death for the first count and seven years imprisonment with hard labor for the second count.

According to the court papers of the lawyer who represented Kimathi, Ralph Millner -- now deceased—the United Kingdom Government had declined to reveal where they had buried the liberation hero.

According to a prison warder who served at the prison between 1952 and 1957, the colonialists thought Kimathi could come back to life.

Samuel Toroitich told Daily Nation in a 2014 interview that the prison commissioner at that time ordered 16 warders to dig where Kimathi was buried with handcuffs on his hands.

“Colonialists could not believe that the former freedom fighter was actually dead and we were ordered to man the graveside for three months as they feared that he might come back to life,” he said.
 
The fact is that the Bootlickers Gikuyu killed him to Please their colonial Masters.
Jomo Kenyatta was Muzungu kibaraka, I love History.
 
Field Marshal ..Kimathi Dedan Waciuri...may your spirit live forever

1572023881629.png
 
The fact is that the Bootlickers Gikuyu killed him to Please their colonial Masters.
Jomo Kenyatta was Muzungu kibaraka, I love History.
Historia ipi hiyo ambayo unaipenda? Soma vitabu vya historia, acha kukesha Instagram kwenye umbea ukipost picha za kipuuzi . Ukijifanya mjuaji kwenye masuala ambayo huyaelewi hata kidogo, utajiaibisha bure. Field Marshal Dedan Kimathi alikamatwa akiwa hai kisha baadaye akahukumiwa kunyongwa kwenye mahakama feki ya mkoloni kule Nyeri. Wazungu waliposikia amehukumiwa kunyongwa walijawa na furaha na walitaka atiwe kitanzi hadharani, 'in public'. Ila serikali yao jijini London ikakataa kwa uoga wa hasira ambazo kitendo hicho kingeibua, kutoka kwa wapiganaji wa Mau Mau na wakenya kwa ujumla.
 
Bila ya jitihada zake hatungekua tumefika huku, Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, ikibainika kweli hilo kaburi ni lake kwa kuchunguza vinasaba/DNA basi ifukuliwe na kufanyiwa mazishi ya kitaifa.
 
Historia ipi hiyo ambayo unaipenda? Soma vitabu vya historia, acha kukesha Instagram kwenye umbea ukipost picha za kipuuzi . Ukijifanya mjuaji kwenye masuala ambayo huyaelewi hata kidogo, utajiaibisha bure. Field Marshal Dedan Kimathi alikamatwa akiwa hai kisha baadaye akahukumiwa kunyongwa kwenye mahakama feki ya mkoloni kule Nyeri. Wazungu waliposikia amehukumiwa kunyongwa walijawa na furaha na walitaka atiwe kitanzi hadharani, 'in public'. Ila serikali yao jijini London ikakataa kwa uoga wa hasira ambazo kitendo hicho kingeibua, kutoka kwa wapiganaji wa Mau Mau na wakenya kwa ujumla.

Hao wakikuyu wawili kwenye hii Video ndio waliongoza msako wa Dedan Kimathi,
Walamba Matako ya Wazungu, Unafiki wa Gikuyu ni Wa kihistoria,
I love History
 
Kumbe wazungu wakianza waits watu terrorist kitambo sana
 
'Collaborators' walikuwa 'Homeguards', kikosi cha waafrika vibaraka, wakristo, ambao walitumiwa na mkoloni. Kutoka kwa makabila tofauti ya Kenya, sio wakikuyu tu, tena hawakuongoza chochote, walikuwa wanafata orders tu. Mau Mau waliwaua kwa wingi zaidi ya hata wazungu. Unasahau kwamba Dedan Kimathi alikuwa mkikuyu pia, na nyuma yake wakikuyu wote, zaidi ya 1.5 million, walikula kiapo cha Mau Mau na wote wakafungiwa kwenye concentration camps na kuitwa magaidi. Anyway, hii mada sio ya kikabila kama unavotaka kuifanya iwe.
 
Kama ni kweli unachokisema,
Kwa nini Jomo Kenyatta (Mkikuyu) alikubali kuwa Kibaraka wa Wazungu?
 
Kumbe wazungu wakianza waits watu terrorist kitambo sana
Ilikuwa njama ya kum'discredit' Dedan Kimathi, ili dunia nzima na bunge lao la kikoloni kule London lisije likamuita 'freedom figher', yeye na kikosi chake cha Mau Mau. Hila yao ilifanikiwa hadi pale walipoanza kuitisha usaidizi kutoka London ili ndege zidondoshe mabomu kwenye maficho ya Mau Mau Ml. Kenya na Aberdares.
 
Kama ni kweli unachokisema,
Kwa nini Jomo Kenyatta (Mkikuyu) alikubali kuwa Kibaraka wa Wazungu?
Mzee Jomo Kenyatta alitupwa kororoni na mkoloni kwa miaka tisa! Tena mkoloni hakuwa na nia ya kumuacha huru akiwa hai. Hadi walimletea ndoo za mvinyo kali akiwa kororoni, eti ndio apende pombe na anywe hadi apate ugonjwa wa ini, na afe. Mkoloni alimchukia Mzee Jomo Kenyatta kwasababu mbinu ya kupambana nao aliyoifata, sio ya fujo, ni ile ya kuwaumbua mbele ya dunia kwa maovu ambayo walikuwa wanafanya dhidi ya wakenya. Ndio maana chama cha KCA(Kikuyu Central Association) kilimtuma J.Kenyatta London. Aliishi huko kwa muda akitafuta uungwaji mkono na fedha za kutafuta mawakili na kuwasilisha hoja yake kwenye mahakama na bunge la mkoloni. Sasa sielewi unatumia kigezo kipi hicho, kumuita kibaraka wa wazungu.
 
Hao wakikuyu wawili kwenye hii Video ndio waliongoza msako wa Dedan Kimathi,
Walamba Matako ya Wazungu, Unafiki wa Gikuyu ni Wa kihistoria,
I love History

Hio video iko informative sana.
 
The fact is that the Bootlickers Gikuyu killed him to Please their colonial Masters.
Jomo Kenyatta was Muzungu kibaraka, I love History.
Humans have no good in them
Dedan Kimathi was, at last, alone.

He had a revolver and six rounds of ammunition. That was all he had in the world, apart from the clothes he wore. But the revolver would not be of much use against the enemy’s automatic patchets. It would not be of much use in hunting, for the noise would only draw the enemy to him. He wandered aimlessly through the forest until night fall when he collapsed with hunger and fatigue and slept.

Just as the enemy predicted, he began thinking of coming out of the forest to the reserves to get some food before he became too weak from hunger. On the evening of the following day, he crept up to the forest edge and spent the night there. The following evening, after wandering along the forest edge and noting how it was guarded, he decided to cross the ditch at the edge of the forest and go into one of the gardens to look for something to eat. He found some sugar cane and some bananas and crawled back into the ditch, then over the side back to the forest. It was his first meal in three days. He got some strength back into his body, and tried to sleep. The following day he heard them, hunting along the forest edge, for they had seen his tracks. He retreated deeper into the forest and sought a place to hide. That night he crossed the ditch again, and crawled into another garden. There were many of them now, and he was lucky to get into the garden unseen. He spent the night in the garden, unable to move, because they were all around. Early at dawn he crawled again towards the ditch, clutching a few more bananas. But while he was trying to climb out of the ditch, they saw him.

A shot rang out and he fell back into the ditch, stunned and wounded in the thigh. He got up again and ran down the trench. In seering pain, he managed to drag himself out of the trench, but collapsed in the undergrowth at the edge of the forest. He touched his thigh and blood covered his hand. He could hear them rushing from all directions, raising a hue and cry. With a sigh, he lay back and put his life in the hand of God.

“It’s all over,” he thought.
 
Thanks at least his sacrifice wasn’t for Nothing,
I believe the Government of Kenya is doing something to this Hero’s Family, Not just the stature.
 
Back
Top Bottom