Hatimaye Kenya kuanza kuwa na kampuni binafsi za umeme, mwsho wa ukiritimba wa KPLC

Hatimaye Kenya kuanza kuwa na kampuni binafsi za umeme, mwsho wa ukiritimba wa KPLC

Unaongea bila evidence hauto eleweka na iweinaanzia 2016
Ni nini ambacho hujaelewa hapo, kwamba usambazaji wa umeme Kenya ni 67.5% wakati Tz ni 32.8%? Pole sana, hizo ni takwimu za kweli, jikakamueni, mtafika tu.
 
Wakenya wanatakiwa waelewe kuwa sula la UMEME ni sula na National Security. Huwezi hand-over kazi hiyo yote to the private company. Ukisoma vile hapo juu wanasema private companies zinasambaza umeme kwa households and small commercial establishments, nothing about rural areas. Given the nature of capitalism, these companies will never supply electricity to the villages where there is little or no profit margins. Hawajaeleza vya kutosha source of electricity and how much is going to cost. Sisi Tanzania tumepigwa sana na private electrical companies with capacity charges na makampuni haya yameshindwa kufikia lengo. As I have highlighted that the power issue is an issue of National Security, it is of significance for a government to take the lead. Sisemi kwakuwa ni Mtanzania bali ukiangalia kwa sasa jinsi Serikali ya Tanzania inavyosambaza umeme vijijini kote kwa speed ya hali ya juu ni jambo la kuigwa. Serikali ya TZ iliwashawishi Watanzia wasidai fidia ya maeneo yao yatakayopitiwa na njia za umeme kwakuwa haina hela na inataka kuleta maendeleo ya haraka. Prof Muhongo alikwenda mbali na kupiga hesabu za pesa ambazo Serikali imeokoa kutokana na fidia na kwasababu hiyo ikapunguza dramatically gharama za kuunganishiwa umeme toka 350,000 hadi 27,000 Tshs. Ni jambo la kujivunia sana. In Kenya first of all you need to ask yourself who is taking the lead in power business? the answer is that ni mother wa Mkuu, huyu mama hatari sana she has a big stake in power supply in Kenya, sasa msiwe mnapeleka hiyo bill ili umeme wote wa Kenya uwe unasambazwa na huyu mama kisha mtegemee bei iwe poa au umeme ufike vijijini kote la haitatokea. Angalia tu, nchini Kenya dry-port ilitakiwa ijengwe kati ya Mombasa na Nairobi lakini imepelekwa Naivasha kwenye mashamba ya Mzee. Sasa corruption na maamuzi yenye maslahi makubwa kwa wafanyabiashara watawala yatawamaliza Kenya. Nchi yenu inauchumu mzuri sana lakini ufisadi na rushwa ya hali ya juu inawamaliza kwakuwa maamuzi mengi si kwa maslahi ya Wakenys but political and business elites.
True Power Transmission is a National Security Issue and Should Not be given to Private companies with no Formal Government Control. There are increased attacks on Power infrastruture example being the Virus(wannacry virus) That attacked USA national electric grid

Danger! Virus Discovered That Targets America's Electrical Grid
 
Ni nini ambacho hujaelewa hapo, kwamba usambazaji wa umeme Kenya ni 67.5% wakati Tz ni 32.8%? Pole sana, hizo ni takwimu za kweli, jikakamueni, mtafika tu.
Leta evidence kila mmoja anaweza kuleta hïzo numbe kenya 35% Tanzania 95%
 
Nimegundua kufikiri kwa wakenya wakipindi cha Kibaki na Uhuru nitofauti sana. Mtu anafungua thread nakujisifu kwa kitu cha kipuuzi sana

Hivi nikitolea mfano wahuduma za Afya hapo Kenya. Gharama za huduma ya Afya between Private na Government ipi iko juu. Naje kwanini zipo juu??

Umuhimu waku monopolize huduma kama umeme na maji serikali huwa inalengo lakushusha gharama za wananchi kwenye hizi huduma nakufanikisha upatikanaji wa huduma kwa kila mtu
This is real a failed state in the making.
Sihuku wawekezaji waumeme kwenye sector ya umeme tuna waondoa kwa sababu wamekuwa wakisababisha ungezeko la bei kwenye umeme.
Kplc is not government owned its independent (parastatal) why are you too foolish...its like Kcc ....brookside and other milk companies brought competition
 
Leta evidence kila mmoja anaweza kuleta hïzo numbe kenya 35% Tanzania 95%
Huo ubishi ulionao si ishu. Kuna uzi humu humu jf, utapata evidence ambayo nilileta kuhusu hilo. Kwenye maswala hayo hatuna cha kuiga kutoka kwenu. We fikiria Tz mpo kwenye 32.8% wakati Kenya usambazaji wa umeme ni 67.5%, hiyo gap inaashiria mengi sana.
 
Hivi yule prof. Muhongo mbona mlimtimua, niliona kama alikua ameanza kudhibiti hali na kuzuia mgao wa kila siku Bongo.
Kashifa zake zilikuwa upande wa madini, kumbuka wakati yeye akiwa waziri madini na nishati vilikuwa pamoja, sa hizi wizara zimetenganishwa, madini kivyake na nishati kivyake.

Hata hivyo, the guy is smart. Ni kwa kuwa alikuta system ikiwa imeoza
 
Competition is always good in business in most cases for consumers...Business has to have incentives to attract a large customer base hence improving productivity..Win win situation..Congratulations Kenyans...
 
Usambazaji wa umeme Kenya hadi Desemba 2017 ilikuwa ni 67.5%, Tz, 32.8%! Mafunzo tunaeza tukawapa ya bure. Muache kelele nyingi.
Teh! Eti 32%

Naona umeamua kujifariji[emoji12] [emoji12]
 
Usambazaji wa umeme Kenya hadi Desemba 2017 ilikuwa ni 67.5%, Tz, 32.8%! Mafunzo tunaeza tukawapa ya bure. Muache kelele nyingi.
Hivi huwa umekua umejinyea kabla ya kujibu au vipi?.Tanzania imeshaunganisha 75% ya wananchi wake wote, na kama ulivyomsikia Magufuli jana katika hotuba yake, ikifika 2021 vijiji vyote vitakuwa vimeunganishwa umeme, Kenya hadi December 2017 ni 63% ndiyo wameunganishwa umeme, hapana chezea Tanzania wewe, size yenu ni Somalia na South Sudan, zote ni failed states kama Kenya.
 
Hivi yule prof. Muhongo mbona mlimtimua, niliona kama alikua ameanza kudhibiti hali na kuzuia mgao wa kila siku Bongo.
Yaani nimemkumbuka ghafla Prof Muhongo umeme ulikuwa haukatiki ovyo enzi zake
 
Hiyo inamaana gharama zitaongezeka na taifa liko hatarini kuingia kwenye giza pindi muwekezaji atapo amua kuzima mitambo. Pia KPLC itahujumiwa nahao wawekezaji.
Nyie bado mko kwenye megawati 1350 na unakenua meno kama punda mwenye nyege?
 
Introducing a new player in Electricity Trasmission is a good idea, but its too late for any meaningful competition that can drive prices down. When a Company Like KPLC fails its customers by providing un reliable power at high prices, the solutiob is not to introduce a competitor, the solution is to Jail the corrupt cartels and recover lost money simple
Migrate to Mars I think you might get a perfect utopian martian life there...why you always whine like a little scorned girl is a mystery.
 
2025 ndio mumepania kufika 50% overall electricity connectivity Rural Electrification - TanzaniaInvest
2033 ndio mtafika 75% (yaani ndio mtafika mahali Kenya ipo kwa sasa)
How Many Rural Tanzanians Have Power? – PesaCheck
Hii ndiyo taarifa official inayo quote maneno ya manager wa mradi wa Rural Energy Argency, jana Magufuli katika Hotuba yake ya kuweka jiwe la msingi phase 2. amesisitiza kwamba by 2021, vijiji vyote Tanzania vitakuwa na umeme, amerudia na kusisitiza hilo, unaweza kumsikiliza You tube, sasa kama mkuu wa nchi na watendaji wote wanasema hilo, sijui ni vipi mtu mwengine analipinga, kwa kutumia data zipi, zinazotoka source ipi?.
 
How Many Rural Tanzanians Have Power? – PesaCheck
Hii ndiyo taarifa official inayo quote maneno ya manager wa mradi wa Rural Energy Argency, jana Magufuli katika Hotuba yake ya kuweka jiwe la msingi phase 2. amesisitiza kwamba by 2021, vijiji vyote Tanzania vitakuwa na umeme, amerudia na kusisitiza hilo, unaweza kumsikiliza You tube, sasa kama mkuu wa nchi na watendaji
We jamaa bana. Taarifa yenyewe uloiweka hapo juu, ya pesacheck, inasema usambazaji wa umeme Tz ni 32.8%! 😀😀😀 Hujui kusoma kiingereza nini? Dah, I give up! Shukran kwa taarifa yenyewe lakini.
 
Back
Top Bottom