Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Compliment kwa nani haswa, Rigathi Gachagua, Hayati Magufuli au Rais Ruto? Hujataja mwenyewe kwamba ustaarabu wa uongozi ni zero?Mimi sijamponda, hii ni compliment
Hapo sasa, akipenda anaweza akaingia hadi studio achomoe wimbo wa 'kutoboa' hayo yote anayoyazungumzia mleta mada. Ila mwisho wa siku kama hatakuwa amekiuka sheria yeyote kikatiba, atajibiwa kwa mtindo huo huo. Tena kunao wengine wengi madomo zege zaidi yake na hataweza kuwafanya lolote. Ndio siasa za kidemokrasia hizo.
Sijui aliokotwa wapi huyu, simpendi kwa kweli na atawajibishwa hivi karibuni maana katiba itambana, anaropokwa kishenzi.
Kila kitu kuhusu Rigathi kina udhi, zaidi ya maelezo, sio domo lake tu. Hata jina lake la utani ambalo walimpa, eti Riggy G, linatia kinyaa kweli kweli. Huwa najiuliza kila mara ilikuwaje hadi huyu jamaa akawa naibu rais wetu. Anachoweza huyu ni kudensi tu, akiingia dance floor labda mchawi tu ndio anaweza akachukia. 😄Sijui aliokotwa wapi huyu, simpendi kwa kweli na atawajibishwa hivi karibuni maana katiba itambana, anaropokwa kishenzi.
Nakumbuka kipindi fulani Magufuli akiwa Rais basi tukasikia habari kuwa Wakenya wanamfagilia mbaya na wangetamani kuwa na Rais wa aina hiyo. DP wao ndio Magufuli, sio Ruto kama wengi walivyodhani
Sasa kuna huyu jamaa, Kaimu wa Rais, Rigathi Gachagua, ndio wakenya wana experience Magufuli wao
Jamaa anatiririka bila kuchuja maneno, yaani ustaarabu wa uongozi ni zero
Ukisikia akiongea ni burudani tu [emoji16][emoji16]
Picha lilianza siku ya kuapishwa anaanza kumnanga Uhuru palepale kuwa wameifilisi serikali
Siku nyingine namsikia akiwaambia wananchi wa kabila la Wakamba kuwa aligombana na Ruto kuteua waziri kutoka kwenye kabila lao maana walipigia kura upinzani
Juzi nimesikia tena akimuambia Ruto amuachie Raila ili aonyeshe namna ya kumnyoosha [emoji1787]
Jamaa akiwa kanisani huko Mlima Kenya nafikiri, akaanza kuwananga waliompigia kampeni Raila, mara akamfokea mwanamuziki anaitwa Ben Gitae kwa kumuimbia nyimbo Raila
Kisha akasema kamsamehe na kuagiza palepale apewe kazi Ikulu, jamaa kama vile Ikulu ni kioski chake binafsi vile[emoji1787]
Halafu jamaa ana mind sana watu wa kabila lake kuwa upande wa Raila, anaona kama usaliti wa hali ya juu
View attachment 2493664
View attachment 2493665
View attachment 2493663
Kwa wote, hawapaki maneno sukariCompliment kwa nani haswa, Rigathi Gachagua, Hayati Magufuli au Rais Ruto? Hujataja mwenyewe kwamba ustaarabu wa uongozi ni zero?
Mshiriki wa nini?Mbona kama anaonekana ni mwenzetu/mshiriki
Sasa Gachagua ndio Rais mzuri na atamsukuma Ruto kufanya mambo ya msingi sana , straight leaders on articulation hua ni wakweli na wanajiamini. Mkipata kiongozi wa aina hiyo maendeleo lazima japo kuna kundi litaonja joto la jiwe