Hatimaye Kenya yaipigia magoti Tanzania

Hatimaye Kenya yaipigia magoti Tanzania

Mmemwaga mboga,sisi tumeamua tuchukue ugali MBOGA TUTAPATA KUTOKA MASHIRIKA MENGINE YA NDEGE,alafu tuone nani atabaki na njaa.

Kuna mashirika mengine ya ndege ambayo binafsi nikisikia yametununia nitaogopa.....kwa mfano KLM.....Qatar.....Emirates......Turkish.....Swiss.....etc......
Nikisema hivi......wadau wa utalii wananielewa vizuri.........
 
They already gave up. Low IQ Tanzanians [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
20200801_175033.jpg

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
 
Binafsi kuna maswali ya kujiuliza au kutafakari

1. Kenya sio nchi ya kwanza kufungua anga lake kwa awamu kama intention ni kufungua gradually then GOT is total wrong
Shida sio kufungua anga gradually, tatizo ni kuzuia watanzania kuingia kwao. Kama ndege zao zitakuja Tanzania, maana yake ni kuwa wakati ndege zikirudi Kenya watanzania hawaruhusiwi kupanda kwenda Kenya
 
wamebana wameachia 3 bila 3 bila 3 bila,
 
Do you realise they are only quoting kenyan news media. Because only kenyan media is covering this . Tanzania media wako silent. This guys wanafuata kenya Twitter all day long .

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
Kwasababu ujinga kama huo huku Tanzania hatushughuliki nao kwasababu tunajua lazima mtatupigia magoti, we are the super power of EA.
 
Kwasababu ujinga kama huo huku Tanzania hatushughuliki nao kwasababu tunajua lazima mtatupigia magoti, we are the super power of EA.
Mbona kenya inatrend Tanzania. But you are not trending in Kenya . You guys are busy bitching and mourning on twitter about kenya .
Screenshot_20200801-175459_Twitter.jpg
Screenshot_20200801-175545_Twitter.jpg

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
 
Ukweli ndio huu. You guys don't know English. This makes you unable to understand simple directives from kenya.
Screenshot_20200801-175123_Twitter.jpg

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
 
watanzania tunapenda sana kukuza mambo, hapo kenya imepigaje magoti kwa mfano?!

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app

Hii ndiyo Corona free country at it's best.

Yalisemwa sana. Kutokuwapo na common protocol kwenye huu ugonjwa migogoro kila patapohusisha physical interactions haitokwisha.

Ufumbuzi wa kudumu hapa ni kila mtu na achukue hamsini zake.

Vinginevyo marumbano (kama ya pwagu na pwaguzi tu) yasiyokuwa na tija yenye kuhusisha huu ugonjwa yatendelea kuwapo kwa muda mrefu.
 
Mbona kenya inatrend Tanzania. But you are not trending in Kenya . You guys are busy bitching and mourning on twitter about kenya . View attachment 1523724View attachment 1523725

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
Ina trend kwa sababu twitter accounts za media za Tanzania zimeripoti kwa kuandika taarifa kuanzia jana TCAA ilipozuia ndege zenu kutua Tanzania bila kusahau accounts binafsi za twitter...mbona ni kitu simple tu au ni uwezo mdogo wa kufikiri ndio inakufanya usitambue!
 
So who is crying online about kenya. Commie morons . All night bitching about kenya . No one cares . Pettiness.

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
 
So who is crying online about kenya. Commie morons . All night bitching about kenya . No one cares . Pettiness.

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
Tofautisha crying na kuripoti habari,

Kajamba nani kama wewe hujui chochote...nenda kaulize serikali yako kwanini wana care hadi wameanza kuipigia magoti Tanzania.
 
Back
Top Bottom