Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Jana nilisema hapa Kenya wasianze kulialia na kupiga simu Tanzania itakapo chukua hatua kwa mtindo wa reciprocity (reciprocating the action taken by our naighbour country).
Hayajaisha masaa 72 wajumbe wa Tanzania wamemkata mtu (KQ) saa hii tunasikia high level diplomatic .....
Hayajaisha masaa 72 wajumbe wa Tanzania wamemkata mtu (KQ) saa hii tunasikia high level diplomatic .....