English illiteracy can cause diplomatic problems [emoji38][emoji38][emoji38]Alafu tuko kimyaaaaaaa,mbwa wanabweka dadeki
Huo ni wa kwako,tunachojua ni kwamba you have bowed before us,kwisha!English illiteracy can cause diplomatic problems [emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 1523810
Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
We can't even kneel before our own, iwe ni some Primitive uncultured village called Danganyika. You must be out of your wits
Alafu mashirika yote hayo yalikuwa yanatua sana pale KIAKuna mashirika mengine ya ndege ambayo binafsi nikisikia yametununia nitaogopa.....kwa mfano KLM.....Qatar.....Emirates......Turkish.....Swiss.....etc......
Nikisema hivi......wadau wa utalii wananielewa vizuri.........
[emoji23][emoji23][emoji23]ksh itashuka mauzo kwenye soko la hisa[emoji16][emoji16]Uzuri migogoro yote mnayoianzisha hamjawahi kujibiwa na waziri achilia mbali rais. Hawana muda na nyie, yaani mkurugenzi mamlaka ya ndege ame switch mnataftana.
Ma RC wameswitch mnataftana.
Siku mkijibiwa na waziri sijui itakuwaje. Siku mkijibiwa na rais nadhani nchi yenu itakuwa shut down kabisa.
Kenya siku zote inajibiwa na watu wadogo Tanzania
Naenda kukusemeaHatutaki, Magufuli mblock kabisa huyo mlevi asikuzoee
Mh ww ndio statement yao walisema ya kuwa raia wa tz wasipande ndege zao na marufuku kuingia kenya ?Shida sio kufungua anga gradually, tatizo ni kuzuia watanzania kuingia kwao. Kama ndege zao zitakuja Tanzania, maana yake ni kuwa wakati ndege zikirudi Kenya watanzania hawaruhusiwi kupanda kwenda Kenya
ππππ. Ww jamaa ni zumburukuku kweli ss je izo diplomatic talk wanatumiaga lugha gan ? Maana na nyiee hamjui kiswahili fasaha . Kjeri yetu we understand english conversantlyUkweli ndio huu. You guys don't know English. This makes you unable to understand simple directives from kenya. View attachment 1523738
Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
πππ Embu tazama hapo saa inasema ni saa ngapi 17 :55 na ww ume post saa [SUP] [/SUP]3;32 oh foolish thank God we catch you earlyKenyan Twitter hata top 10 Tanzania haipo View attachment 1523707
Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
Nimemsikia huyu waziri, hawa jamaa mambo wanayaanza wenyewe alafu wakibanwa kidogo wanakimbilia kulia.Sikiliza Macharia anavyopata taabu kutafuta suluhu baada ya kukurupuka kama kawaida ya viongozi wa Kenya (5:24)
Ni goti hilo, negotiations za nini kama unajiamini. Ushasikia Tz ikinegotiate na nyie mkikurupukaga, tunapigaga tu spana, mnaomba negotiations, mnasemehewa mnaachiwa, wachumba tu nyinyi'High level negotiations' ndio kupiga magoti. Only in Magufulistan. [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huku ndo kunaitwa kuchokonoa mzinga wa nyuki na kidole
Nyie hamna kitu mazee, you can't do shit to TzWe can't even kneel before our own, iwe ni some Primitive uncultured village called Danganyika. You must be out of your wits
Ni 5:33 - 07:11. Tutaheshimiana tu dadekiHahahaha, Macharia anakimbia kulia na kushoto kumpigia simu waziri wa Tanzania kuomba msamaha (5:24)
How can you waste your time provoking against uncultured village called Danganyika. IdiotWe can't even kneel before our own, iwe ni some Primitive uncultured village called Danganyika. You must be out of your wits