Hatimaye Kenya yaipigia magoti Tanzania

Hatimaye Kenya yaipigia magoti Tanzania

Macharia alisema ameongea na Eng. Kamwelwe na kuanzia leo ndege za KQ zitarhusiwa kuingia na kutua Bongo.

Vipi kuna ndege yeyote ya KQ ineruhusiwa Bongo?
Kwa hivyo mlikurupukwa. Yaani 24hrs hazijaisha na orders have already been rescinded?
IMG_20200403_234323.jpg
 
Ina trend kwa sababu twitter accounts za media za Tanzania zimeripoti kwa kuandika taarifa kuanzia jana TCAA ilipozuia ndege zenu kutua Tanzania bila kusahau accounts binafsi za twitter...mbona ni kitu simple tu au ni uwezo mdogo wa kufikiri ndio inakufanya usitambue!
Kenya maisha magum wanashindwa hata afford pesa ya bundle so wacha tuwatrendishe mitandaoni[emoji23][emoji23] (joking)
 
You guys don't know English. This makes you unable to understand directives from Kenya
Hizo "directives za Kenya" pelekea mke wako mkale nazo ugali mchanganye na English kama kachumbari mle!

Ati "directives za Kenya". Hehehee..
 
Cha ajabu ni kwamba hili swala la kiingereza ni nyinyi Watanzania mnaizungumzia na inabainika kiwazi kuwa ni jambo linalowauma zazawa.

WaKenya kujua kiingereza ni birthright yao kwani wanapambana nayo kutoka shule za chekechea na maisha ya kila siku. Kwa muktadha huu, iweje tena tujisifie kitu tulichokizoea? Tena kwa mitanzania?

Ujinga.
Mawazo ya kikoloni ...ni mawazo ya utumwa...more than 50 years after independence mtu Bado anaona fahari kuzungumza English...na anasema bila aibu kuwa ni birth right...duh...stupid...
 
Cha ajabu ni kwamba hili swala la kiingereza ni nyinyi Watanzania mnaizungumzia na inabainika kiwazi kuwa ni jambo linalowauma zazawa.

WaKenya kujua kiingereza ni birthright yao kwani wanapambana nayo kutoka shule za chekechea na maisha ya kila siku. Kwa muktadha huu, iweje tena tujisifie kitu tulichokizoea? Tena kwa mitanzania?

Ujinga.
Mmetawaliwa mawazo na Akili,cheki unavoandika kwa majivuno et"birth right"!
 
Back
Top Bottom