asvptx
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 1,940
- 1,014
Kwa hivyo mlikurupukwa. Yaani 24hrs hazijaisha na orders have already been rescinded?Macharia alisema ameongea na Eng. Kamwelwe na kuanzia leo ndege za KQ zitarhusiwa kuingia na kutua Bongo.
Vipi kuna ndege yeyote ya KQ ineruhusiwa Bongo?