Hatimaye Kenya yasalimu amri kwa Tanzania

Hatimaye Kenya yasalimu amri kwa Tanzania

Saruji kutoka Kenya haikidhi viwango, hilo nakubaliana nalo. Kwa namna majengo Kenya yanameguka kama biscuits.
Nina mashaka na saruji yao
Nitawashangaa watanzania watakao endelea kununua Saruji toka Kenya!
Kiukweli ni ya hovyo hovyo
 
Saruji kutoka Kenya haikidhi viwango, hilo nakubaliana nalo. Kwa namna majengo Kenya yanameguka kama biscuits.
Nina mashaka na saruji yao
Rule of origin hawajamaanisha quality ya product ila ni asili ya bidhaa ilipozalishwa, kwa maana inawezekana kenya wana import bidhaa iliyozalishwa labda SA then waje kuuza TZ, hapo ndipo unafuu wa kodi hufinywa kwa bidhaa husika, kwa lugha nyingine bidhaa ingezalishwa kenya basi prof mkenda na team yake wasingekuwa na wasiwasi juu ya uasili wa bidhaa husika.
 
Wewe Mwalimu wako darasani alikua na kazi kweli.

Wamesalimu amri sababu waliyoyaanzisha kuzuia bidhaa za Tanzania kuingia Kenya sasa wameondoa vikwazo sisi Tanzania hatukua na vikwazo nao bali wao ndio waliotuanza.

Sasa hapo huelewi kitu gani weww
Kwa hizi fikra lazima utabaki tu mtu micro. Huoni the bigger picture, eti walituanza! We mtoto wa darasa la tatu nini? Bahati yako ni, hujui ya kwamba hujui.
 
Kenyan people don't mess around with East Africa power house .

Hapa kazi tu.
 
Back
Top Bottom