MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Nitawashangaa watanzania watakao endelea kununua Saruji toka Kenya!Saruji kutoka Kenya haikidhi viwango, hilo nakubaliana nalo. Kwa namna majengo Kenya yanameguka kama biscuits.
Nina mashaka na saruji yao
Kiukweli ni ya hovyo hovyo