mwalimu tajiri
Member
- Jul 21, 2013
- 16
- 2
Kibanda analeta ngonjera, kama za Mwakyembe.Wakipata matatizo wanatushirikisha,wanapopata nafuu na nafasi ya kuzungumza wanamung'unya maneno.Mungu hampendi mnafiki daima,
Kumbuka alisema, kuna siku alitonywa na mtu wa serikalini kwa maelezo yake utajua ni mtu wa UWT ambaye ni rafiki yake kwamba, ajiangalie mahali anapokunywa, muda anaorudi nyumbani, aangalie sana kwenye geti la nyumbani kwake kila atakapokuwa anarudi nyumbani! My point is kama watu wa UWT (TISS) walikuwa wanajua juu ya hatari iliyokuwa inamkabili na bado ikawa kama alivyokuwa ameambiwa na given kwamba mpaka sasa watuhumiwa hawajakamatwa, ni wazi kikundi cha "ELIMINATORS" wa TISS au wa POLICE ndio wliohusika!! Na kama unakumbuka mtu wa UWT alimwambia kuwa maandishi yake ndiyo yanayoleta taabu kwa watawala!! Kwa hiyo issue ya Kibanda Absalom is from the inner circles of the system!Jamani mimi ni mtaalamu wa nadharia za njama (ConsipiracyTheoretician) by profession lakini pamoja na facts nilizo nazo, nimejaribukutengeneza theory kibao kuhusiana nakutekwa kwa Kibanda, lakini kila niki-feed facts katika hypothesisnilizotengeneza zinakataa. Nafasi iliyokuwa imebaki ku-prove theory zanguilikuwa ni kumsikiliza kibanda mwenyewe face to face na kuyasoma mawazo yake. Leokibanda kaongea kwa mara ya pili tokea arudi kutoka Afrika ya Kusini akiwaametulia zaidi channel 10 katika kipindi cha Generali on Monday. Pamoja nakuzunguka sana na kujitahidi asitaje jina la mtu wala taasisi, lakini bilakujua amewaondoa ambao walikuwa wanatajwa kuhusika na hivyo kutusaidia watutuliokuwa tunafuatilia sakata lake tukiwa na nadharia nyingi ku-narrow down nakupunguza nadharia na kubakiwa na chache ambazo zina mantiki.
Facts Alizoziongea kibanda Channel 10 leo ambazozina-eliminate theory nyingine zote ni hizi,
1. Watuwaliomteka wana nguvu na uwezo wa kifedha
2. Watuwaliomteka wana madaraka wanauwezo wa kuingilia uchunguzi na kuamrishauchunguzi uelekee wanakokutaka wao.
3. Wapowatumishi wakubwa wa serikali waliostaafu kwenye vyombo vya dola wanaofuatiliauchunguzi huu bila kuyumbishwa.
4. Vyombovya dola na baadhi ya waandishi wamefanya jitihada za makusudi kupotosha tukiozima la kutekwa kwake
5. Watekajisio watu barabarani ni watu wenye utaalamu wa kusomea wa jinsi ya kumdhurubinadamu
6. Tukiohili lina uhusiano wa moja kwa moja na kazi yake kibanda kama mwandishi namtazamo wake katika yale anayoyaandika.
Kwa facts hizi alizoongea Kibanda ukijumlisha namwonekano wake (body language) pale studio kuna theory moja tu ndio inabakinayo ni Kibanda kateswa na kikundi cha watu waliopo serikalini wenye madarakaau wanaotaka madaraka ambao wana baraka zote za mkuu wan chi (Raisi) ndio maanahakuna linalofanyika kuhusiana na kesi ya kibanda zaidi ya siku 100 tokea ateswe.
Acha u waziri mkuu wewe acha ao aliowatuhumu waje humu wajitetee kama hawakufanya. Au na wewe unataka jimbo la magogoni na wewe unajichonganisha na mbatia bureHitimisho lako hapo chini limejaa uzushi wenye lengo la kumchonganisha Rais/ Vyombo vya dola na wananchi. Hii ni tuhuma nzito kwa Rais, hivyo unapaswa kuthibitisha hili, unaposema kwamba Kibanda aliteswa kutokana na baraka za Rais Kikwete... Unaweza kuthibitisha hili? watu wengine bana , kujitafutia matatizo tu. Kwani kwenye sheria kuna ukomo wa uchunguzi wa criminal conduct? Kuna 100 days deadline??? Rubbish. Watu kama wewe ni hatari kwa Taifa letu.
Mkuu ulichukua hatua gani baada ya gazeti la mwanahalisi kuandika majina ya waliomtesa Ulimboka likafungiwa?sasa tumuamini nani km hata yeye Kibanda anashindwa kuwataja? mbona kuna mitandao mingi atume yoyote awataje kuliko kuwaficha km Ulimboka.
Humu JF kuna taarifa za wenzake Waandishi waliunda Tume na wakaileta humu sasa tuamini ipi?
....kwanini hataji ni kwasababu watesi wake walitumwa na Mkuu.... hili halihitaji hata diploma ya psychology...Hawezi wataja hata siku moja na pia hata ungekuwa wewe usingewataja kwani hata akiwataja hawatachukuliwa hatua yoyote na pia ni hatari kwa uhai wake. Bora achune tu kwani yeye hapendi kuishi!??? Tujifunze kwa Olimboka.
.....Kwanini umsemee Kikwete?....Jiulize na Mwakyembe aliteswa na nani????......Hitimisho lako hapo chini limejaa uzushi wenye lengo la kumchonganisha Rais/ Vyombo vya dola na wananchi. Hii ni tuhuma nzito kwa Rais, hivyo unapaswa kuthibitisha hili, unaposema kwamba Kibanda aliteswa kutokana na baraka za Rais Kikwete... Unaweza kuthibitisha hili? watu wengine bana , kujitafutia matatizo tu. Kwani kwenye sheria kuna ukomo wa uchunguzi wa criminal conduct? Kuna 100 days deadline??? Rubbish. Watu kama wewe ni hatari kwa Taifa letu.
Kumbuka alisema, kuna siku alitonywa na mtu wa serikalini kwa maelezo yake utajua ni mtu wa UWT ambaye ni rafiki yake kwamba, ajiangalie mahali anapokunywa, muda anaorudi nyumbani, aangalie sana kwenye geti la nyumbani kwake kila atakapokuwa anarudi nyumbani! My point is kama watu wa UWT (TISS) walikuwa wanajua juu ya hatari iliyokuwa inamkabili na bado ikawa kama alivyokuwa ameambiwa na given kwamba mpaka sasa watuhumiwa hawajakamatwa, ni wazi kikundi cha "ELIMINATORS" wa TISS au wa POLICE ndio wliohusika!! Na kama unakumbuka mtu wa UWT alimwambia kuwa maandishi yake ndiyo yanayoleta taabu kwa watawala!! Kwa hiyo issue ya Kibanda Absalom is from the inner circles of the system!
Mkuu ulichukua hatua gani baada ya gazeti la mwanahalisi kuandika majina ya waliomtesa Ulimboka likafungiwa?
Amini usiamini kila tukio linalotendeka huwa na funzo liwe hasi au chanya lakini fundisho ni lazima.
Kizazi hiki kinachopenda kusikiliza bila kuchukua hatua,kinaua mioyo ya watu majasiri walio tayari kufichua yaliyojificha.
Picha ya askali aliyemuua Mwangosi mpaka leo ipo mitandaoni lakini uchunguizi unaendelea,wewe umechukua hatua gani?Mimi nadhani tuungane na wapenda amani wote na tushirikiane sote ili haki itendeke badala ya kuwalaumu wale waliokumbana na udhalimu.
Kama hujui unalolisema unakaa kimya.Dr. Ulimboka naye aliishia kubwabwaja kupitia kwa wakili wake Nanyoro kicheere, hawataki kufunguka bhana, we don't know y?
Acha u waziri mkuu wewe acha ao aliowatuhumu waje humu wajitetee kama hawakufanya. Au na wewe unataka jimbo la magogoni na wewe unajichonganisha na mbatia bure
....kwanini hataji ni kwasababu watesi wake walitumwa na Mkuu.... hili halihitaji hata diploma ya psychology...
.....Kwanini umsemee Kikwete?....Jiulize na Mwakyembe aliteswa na nani????......
Mchuzi huu kwavyovyote vile uliungwa kwa LIMAO na siyo NDIMU...."the big guns plays part"....
Hitimisho lako hapo chini limejaa uzushi wenye lengo la kumchonganisha Rais/ Vyombo vya dola na wananchi. Hii ni tuhuma nzito kwa Rais, hivyo unapaswa kuthibitisha hili, unaposema kwamba Kibanda aliteswa kutokana na baraka za Rais Kikwete... Unaweza kuthibitisha hili? watu wengine bana , kujitafutia matatizo tu. Kwani kwenye sheria kuna ukomo wa uchunguzi wa criminal conduct? Kuna 100 days deadline??? Rubbish. Watu kama wewe ni hatari kwa Taifa letu.
hivi bado Membe ana ndoto za urais??
Hakika kama hataki kuwataja basi nae ni mmoja kati ya watu wasiopenda maendeleo ya taifa hili kwani kuwataja hawa watu kutapelekea uchaguzi uja waTz kuwakataa kwa nguvu ya sanduku la kura endapo serikali haitawafungulia mashtaka pia atakuwa amewasaidia waTz wengine watakaodhuriwa baadae na hawa watu, so kibanda kuwa Mzalendo