Kumbuka alisema, kuna siku alitonywa na mtu wa serikalini kwa maelezo yake utajua ni mtu wa UWT ambaye ni rafiki yake kwamba, ajiangalie mahali anapokunywa, muda anaorudi nyumbani, aangalie sana kwenye geti la nyumbani kwake kila atakapokuwa anarudi nyumbani! My point is kama watu wa UWT (TISS) walikuwa wanajua juu ya hatari iliyokuwa inamkabili na bado ikawa kama alivyokuwa ameambiwa na given kwamba mpaka sasa watuhumiwa hawajakamatwa, ni wazi kikundi cha "ELIMINATORS" wa TISS au wa POLICE ndio wliohusika!! Na kama unakumbuka mtu wa UWT alimwambia kuwa maandishi yake ndiyo yanayoleta taabu kwa watawala!! Kwa hiyo issue ya Kibanda Absalom is from the inner circles of the system!