Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Na hata asipofunga au akiichoka Simba lazima utopolo wamsajili.Hilo ndilo ajabu lenyewe.Mifano ipo mingi.Nimesahau limebaki goli moja la ligi kuu
Naunga hoja MkuuBaada ya kiwango kizuri alichoonesha siku ya leo akiisaidia timu yake kupata goli la kusawazisha akifunga yeye mwenyewe na mechi kumalizika kwa jumla ya magoli matatu kwa moja.
Sasa ndio Kibu Denis amemaliza msimu. Hii inatokana na kuwa na kawaida ya kufunga goli moja kila msimu na kisha kuja kuikamua timu yake mamilioni ya shilingi mwisho wa msimu.
Soma Pia: FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024
Utasikia kaitwa Taifa Starz ...sisi wakwenda na upepoKibu japo ni mtovu wa nidhamu lakini hayupo wa kumuweka benchi Simba hata Taifa stars..
Hata mzamiru anaonewa bure..hayupo wa kumuweka benchi hapo Simba.
Sasa si ndio jana kamaliza msimu rasmi.Mshambuliaji msimu unaisha ana goli moja.
Eeeh aende pia uko akawakamue mamilioni. Mjini ujanja bhanaNa hata asipofunga au akiichoka Simba lazima utopolo wamsajili.Hilo ndilo ajabu lenyewe.Mifano ipo mingi.
Kwa hiyo mikimbio ndio umuanzishe chezaji la Norway umuache Didier Drogba Mzize?Kibu japo ni mtovu wa nidhamu lakini hayupo wa kumuweka benchi Simba hata Taifa stars..
Nani anateseka? Kwani sisi ndio tunakamuliwa mamilioni kwa goli moja?Mnorway 😂. Mtateseka nyie!
Tena hata beki anamzidi. Beki unakuta ana mpaka clean sheet na goli juu. Kibu yeye akifunga goli moja kamaliza msimuJamaa ni kama beki tu msimu mzima goli moja?
Wewe imeanzia hapo?Ndo akili yako ilipoishia