Hatimaye Kibu Denis amaliza msimu wake mapema kabisa

Southern Highland

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
14,938
Reaction score
25,405
Baada ya kiwango kizuri alichoonesha siku ya leo akiisaidia timu yake kupata goli la kusawazisha akifunga yeye mwenyewe na mechi kumalizika kwa jumla ya magoli matatu kwa moja.

Sasa ndio Kibu Denis amemaliza msimu. Hii inatokana na kuwa na kawaida ya kufunga goli moja kila msimu na kisha kuja kuikamua timu yake mamilioni ya shilingi mwisho wa msimu.

Soma Pia: FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024
 
Naunga hoja Mkuu
 
Back
Top Bottom