Hatimaye kijana arudi Iringa

Hatimaye kijana arudi Iringa

Edobeny

Senior Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
143
Reaction score
29
Wadau nilileta swala la yule kijana aliyepata
tatizo la kulogin kwa Mpesa ID kwenye form ya kuomba mkopo HESLB.Alikuja hapa Dar na kufikia kwangu ili afuatilie ofisini kwao. Binafsi nilipigana mpaka nikatoroka kazin kwenda bodi nikaomba sana pale ndani ila waligoma kabisa kunipeleka idara ya IT ambayo inahusika na hiyo issue.
Sasa dogo hajafanikiwa na amerudi Iringa leo maana Deadline ni kesho.
Ndoto za kijana huyu zimefifia na PCM yake, hana tumaini la kwenda chuo mwaka huu. Nawaza tu ni vijana wangapi wa aina hii wenye tatizo kama lake?
Akikwambia jinsi alivyoipata hiyo 30000/= ya kuombea mkopo machozi yatakutoka. Thanx HESLB kwa kuweka system ya Online ila mjue kuna watu wanaumia sana kwa mfumo huu.
Inatia hasira sana !!!
 
Siku moja Mungu atafuta machozi ya vijana hawa
 
Hiyo pesa ya nauli siangelipia heslb ili apate transaction Id nyingine.
Mi nahisi unajaribu kutunga kitabu cha hadithi hapa jukwaani
.
 
hao mabwege waliotunisha macho hapo HESLB headquarters ni matutusa kuliko tunavyoweza kudhani. hv wanaona raha sana kuwaona watoto wa masikini wakikosa nafasi kujiunga chuo?
 
ID nyingine una uhakika ingekubali ?
Sio kila kitu ni utani mzee people are suffering out there
 
hao mabwege waliotunisha macho hapo HESLB headquarters ni matutusa kuliko tunavyoweza kudhani. hv wanaona raha sana kuwaona watoto wa masikini wakikosa nafasi kujiunga chuo?
Sijui kuna nn pale HESLB, niliongea na receptionist akanitolea nje. Nikapambana nikakutana na dada mmoja kwenye idara ya mikopo nikamwita pemben lakini wapi kila mtu anaiogopa idara ya IT.
 
Hiyo pesa ya nauli siangelipia heslb ili apate transaction Id nyingine.
Mi nahisi unajaribu kutunga kitabu cha hadithi hapa jukwaani
.

Usafiri wa fuso usiku kituo kipo Rombo pale, hii mambo usiombe aisee, niliwahi kutana na kijana mwenye shida kama hiyo, basi tu sijui niliwaza nini, nikatoa pesa yangu akalipia upya nikamsajili upya hivi sasa ni mwaka wa pili mkwawa, tafadhali wapeni msaada msikimbie kuleta mada bila suluhu. Huyu kijana alitokea korogwe kwa fuso la viazi kuja ofisi za heslb. Nilikutana nae mlimani city, akauliza eti bro ofisi za heslb ndio zipi hapa nimeelekezwa hapa, nilimwonea huruma sana, nikamsihi akae atulie, nikamhoji vip kuna nini, akatoa ID ya malipo, hii kadi imegoma kunisajili mkopo, ndio nimekuja kuomba msaada, ..........naomba niishie tu hapa, Heslb ni kama jela kwa vijana wengi.
 
Inaonesha sio wabunifu kwenye kazi yao
Kwanini wasiweke MATAWI yao katika kila MKOA kama kweli wana nia ya kusaidia

Serikali ya CCM imeshindwa kututumikia wananchi wake kwa ufasaha mwaka huu lazima ing'oke madarakani.

Halafu unaweza kuta anaangaika namna hiyo na mkopo wakamnyima vilevile.
 
Bado kuna utata hapa,kama ID imegoma si ungemsaidia 30000 aanze upya!?
 
Mimi nilikwambia nipe transaction ID na namba ya simu ukakubali. Akaja MTU akakwambia ogopa kumpa mtu mtashare ID itakua tatizo. Sasa jiulize ningewezaje kushare ID wakati inagoma kulog in???
Mimi nilishasoma nimemaliza kwa sasa nimeajoriwa na nafanya kazi. Nilichotaka ni kumsaidia tu dogo ili nae atimize ndoto zake. Sasa jiulize umebakiwa na hiyo ID mbona hakufanikiwa?
Waswahili wanasema, 'mficha uchi hazai'.
Siku njema.
 
wakuu tuacheni masihara 30000 ni pesa ndogo sana hiyoo aisee na ni pesa nyingi sana hiyoo.

kama wana jf nazani kupost macoment bila kumsaidia huyu dogo ni aibu tupu wakati kuna wadau hapa wanakunywa bia mpaka za laki 5 per day?? kuna watu wanafanyia uzinzi kwa garama zaidi ya mara 5 ya hiyo pesa.

mm ningeomba tumsaidie kama ndoto zake zimekufa hakika zifufukie hapa jf .mm naamini ndugu uliye andika hapa unamawasiliano yake so chamsingi mchakato ufanyika asaidiwe upya ili mistake isitokee tena tungeomba mdau 1 mwenye uhakika wakulifanya hili tumpatie pesa alifanye ili kumsaidia dogo.

na kama atakosekana aliye post hii ishu basi atoe mawasiliano na dogo ili tumchangie.

mm nipo tayari kujitolea hiyo elfu 30 ili dogo afanye mchakato upyaa.
 
Umeongea kitu cha msingi ila mwisho wa kutuma maombi HESLB ni leo 30/06/2015, Ndo maana jana akaondoka. Hiyo 30000 ya kumpa nilikuwa nayo ila Online system ya bodi ina shida hata angeomba tena kuna 50/50.
 
Bado kuna utata hapa,kama ID imegoma si ungemsaidia 30000 aanze upya!?
Mkuu hornet tatizo hapa sio 30000/= ila Online system ya Heslb haieleweki hata angeomba mara 10.
 
Mimi nilikwambia nipe transaction ID na namba ya simu ukakubali. Akaja MTU akakwambia ogopa kumpa mtu mtashare ID itakua tatizo. Sasa jiulize ningewezaje kushare ID wakati inagoma kulog in???
Mimi nilishasoma nimemaliza kwa sasa nimeajoriwa na nafanya kazi. Nilichotaka ni kumsaidia tu dogo ili nae atimize ndoto zake. Sasa jiulize umebakiwa na hiyo ID mbona hakufanikiwa?
Waswahili wanasema, 'mficha uchi hazai'.
Siku njema.
Ni kweli thanx for your help nakumbuka
 
Inaonesha sio wabunifu kwenye kazi yao
Kwanini wasiweke MATAWI yao katika kila MKOA kama kweli wana nia ya kusaidia

Serikali ya CCM imeshindwa kututumikia wananchi wake kwa ufasaha mwaka huu lazima ing'oke madarakani.

Halafu unaweza kuta anaangaika namna hiyo na mkopo wakamnyima vilevile.

Dah ! Time will tell
 
Back
Top Bottom