Wadau nilileta swala la yule kijana aliyepata
tatizo la kulogin kwa Mpesa ID kwenye form ya kuomba mkopo HESLB.Alikuja hapa Dar na kufikia kwangu ili afuatilie ofisini kwao. Binafsi nilipigana mpaka nikatoroka kazin kwenda bodi nikaomba sana pale ndani ila waligoma kabisa kunipeleka idara ya IT ambayo inahusika na hiyo issue.
Sasa dogo hajafanikiwa na amerudi Iringa leo maana Deadline ni kesho.
Ndoto za kijana huyu zimefifia na PCM yake, hana tumaini la kwenda chuo mwaka huu. Nawaza tu ni vijana wangapi wa aina hii wenye tatizo kama lake?
Akikwambia jinsi alivyoipata hiyo 30000/= ya kuombea mkopo machozi yatakutoka. Thanx HESLB kwa kuweka system ya Online ila mjue kuna watu wanaumia sana kwa mfumo huu.
Inatia hasira sana !!!