BabuKijiko
Member
- May 3, 2024
- 24
- 38
Monthly pension itashuka sema waliobeza kikokotoo hawajielewi kuwa kadri unavyochukua Hela ya mkupuo kubwa monthly pension inashuka na Maisha ni monthly pension sio Hela ya mkupuoNgoja tuone, hesabu. Kama ulipostaafu jumla ya pesa yako ni Mil 100, so utalipwa Mil 40 badala ya Mil 33.
Bado ndogo sana.
Hii 40% (malipo ya mkupuo ya kiinua mgongo) bado haitoshi, serikali haijasikia bado, msitudanganyeAkiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali Bungeni, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imesikia kilio cha Wastaafu na hivyo imepandisha Malipo ya Mkupuo kutoka 33% hadi 40%
Pia, Dkt. Mwigulu amesema Rais Samia ameagiza kuongezwa kwa malipo hayo kwa Wastaafu waliokuwa wakilipwa 25% sasa watalipwa 35% katika Mwaka huu wa Fedha
View attachment 3016524
Kwanini wasiweke 50-50!Monthly pension itashuka sema waliobeza kikokotoo hawajielewi kuwa kadri unavyochukua Hela ya mkupuo kubwa monthly pension inashuka na Maisha ni monthly pension sio Hela ya mkupuo
Hela ya mkupuo hukata upesi
Kwanini wasiweke 50-50!Monthly pension itashuka sema waliobeza kikokotoo hawajielewi kuwa kadri unavyochukua Hela ya mkupuo kubwa monthly pension inashuka na Maisha ni monthly pension sio Hela ya mkupuo
Hela ya mkupuo hukata upesi
Monthly pension itashuka sana waulize wastaafu waliolipwa mkupuo asilimia 25 wanaishi maisha ya Raha sana pension ya Kila mwezi hawapishani sana na walioko ofisini sababu monthly pension ni kama 75 percent ya mshahara walikuwa wanapataKwanini wasiweke 50-50!
Swali zuriSasa na wale waliokuwa wamelipwa teyari itakuwaje Wataongezewa?
Hivi hiyo monthly payment huwa inategemea vigezo gani? Kwa mwalimu anaweza kupata ngapi kwa makario eg kama atalipwa 40% kwa mkupuo.Monthly pension itashuka sema waliobeza kikokotoo hawajielewi kuwa kadri unavyochukua Hela ya mkupuo kubwa monthly pension inashuka na Maisha ni monthly pension sio Hela ya mkupuo
Hela ya mkupuo hukata upesi
Kama huelewi 50 50 tukueleweshe Kwa lugha Rahisi maana yake unachukua 50 percent mkupuo na monthly pension utalipwa 50 percent ya mshahara ulikuwa unapata maisha Yako yoteWarudishe tu kile kikokotoo cha zamani. Wastaafu wanataka mpunga wa kueleweka ili wafanyie mambo yao ya msingi mara tu baada ya kustaafu.
Kuna mwalimu mmoja alichukuwa hii ya mkupuo, akakimbilia kujenga kijijini anakoishi, akagaiwa watoto kidogo na iliyobaki akawa ananywea pombe mpaka ikakata. Sasa hivi anaishi kimaskini kweli kweli. Nadhani huyo angepata hii ya kila mwezi ingemsaidia zaidi.Monthly pension itashuka sema waliobeza kikokotoo hawajielewi kuwa kadri unavyochukua Hela ya mkupuo kubwa monthly pension inashuka na Maisha ni monthly pension sio Hela ya mkupuo
Hela ya mkupuo hukata upesi
Hii nchi ni ya hovyo sana!Ngoja tuone, hesabu. Kama ulipostaafu jumla ya pesa yako ni Mil 100, so utalipwa Mil 40 badala ya Mil 33.
Bado ndogo sana.