Hatimaye kile chombo chenye watalii 800+ waliokimbia kwa hofu Kenya kimewasili Zanzibar, hiki hapa

Watalii 800+ ina maana humo ndani ya meli kuna starehe za laana zinafanyika,pombe,uzinzi,kamari n.k,bado wale LGBTQ hawezi kukosa tunafurahi laana kuingia nchini kisa pesa....inasikitisha sana.
 
Nimepita hapa Bandarini nimeiona aisee.

Vijana mmeletewa fursa changamkieni
 
Fuatilia story vizuri.
Hiyo meli ilikuwa iende Kenya lakini imekuja DSM kutokana na vurugu za Kenya
 
Fuatilia story vizuri.
Hiyo meli ilikuwa iende Kenya lakini imekuja DSM kutokana na vurugu za Kenya
Lol Mara ndege kubwa ya kwenda Dubai inafanya emergency landing tz kutokana na kukwepa anga lenye machafuko la Sudan,huku meli ya watalii inadivert trip to dsm instead ya Kenya kutokana na maandamano,🤔tized inageuka kama the land of refuge 🤣
 
Fuatilia story vizuri.
Hiyo meli ilikuwa iende Kenya lakini imekuja DSM kutokana na vurugu za Kenya
Hakuna kitu kama hicho Mkuu hizi meli za wageni hazifanyi huo upuuzi mgeni anaambiwa ataenda Zanzibar,Durban hata kabla hawajaanza Safari Meli ilifanya tofauti inaweza ikashtakiwa sio rahisi kama mnavyozungumza hiyo Zanzibar inatangazwa Duniani kuliko mnavyodhania ndio maana mnadhani vitu vyake vinakuja kwa bahati mbaya...
 
Mkuu utakuwa uelewi au hujafuatilia nini kilitokea au kinaendelea hadi meli hiyo kuja Tanzania ndiyo mana umeandika hicho ulichoandika.

Please chini ya mada kuna link ifuatilie ujue, that is why nimeanika "Ijue story ilipoanzia"
Endeleeni kudanganyana wakati pana Kampuni zilikua zina wageni kwenye hiyo meli toka hizo Link zenu mnaanza kuandika mimi huwa nawaangalia mkidanganyana sana...pana vitu huwa najiuliza hamna exposure au kitu gani mpaka mnafikia kuandika uongo huo harafu na wengine wanafuta hayo madudu yenu yapo makampuni ya Utalii walikua washapata hela kutoka kwa hao wageni hata kabla hata safari haijaanza...
 
 
Watu kama wewe ni wachache sana au wapo ila hawataki kuwa kama wewe.

comrade upo vizuri, ila utakamilika kuwa Comrade kwa kunipa ushahidi, kuhusu hii meli kuwa ilikuwa lazima ikitoka nchini Kenya -Mombasa, ndipo inakuja Tanzania visiwani Zanzibar, vinginevyo nitakuona sawa na wale wenzako tu!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…