Hatimaye kile chombo chenye watalii 800+ waliokimbia kwa hofu Kenya kimewasili Zanzibar, hiki hapa

Hatimaye kile chombo chenye watalii 800+ waliokimbia kwa hofu Kenya kimewasili Zanzibar, hiki hapa

Watalii 800+ ina maana humo ndani ya meli kuna starehe za laana zinafanyika,pombe,uzinzi,kamari n.k,bado wale LGBTQ hawezi kukosa tunafurahi laana kuingia nchini kisa pesa....inasikitisha sana.
 
View attachment 2588231
View attachment 2588233
View attachment 2588235
Ijue story ilipoanzia 👇🏾.
Nimepita hapa Bandarini nimeiona aisee.

Vijana mmeletewa fursa changamkieni
 
Mnapenda kutengeneza Story Zanzibar ni sehemu inyoongoza kwa Utalii ikishindana na Morocco pamoja na Cape Town Meli na wageni wake waandaa safari wanaenda wapi na wanalipia kabla hata hawajaanza safari hiyo meli sio bus kuwa itabadili route juu kwa juu ina Bima na matakataka yote mpaka kwa wageni kwa kila safari...ukibahatika kuonana na mtalii hapo wana ramani kabisa ya hiyo Meli wakitoka hapo wataelekea wapi na wapi kwa gharama walizolipia...
Fuatilia story vizuri.
Hiyo meli ilikuwa iende Kenya lakini imekuja DSM kutokana na vurugu za Kenya
 
Fuatilia story vizuri.
Hiyo meli ilikuwa iende Kenya lakini imekuja DSM kutokana na vurugu za Kenya
Lol Mara ndege kubwa ya kwenda Dubai inafanya emergency landing tz kutokana na kukwepa anga lenye machafuko la Sudan,huku meli ya watalii inadivert trip to dsm instead ya Kenya kutokana na maandamano,🤔tized inageuka kama the land of refuge 🤣
 
Fuatilia story vizuri.
Hiyo meli ilikuwa iende Kenya lakini imekuja DSM kutokana na vurugu za Kenya
Hakuna kitu kama hicho Mkuu hizi meli za wageni hazifanyi huo upuuzi mgeni anaambiwa ataenda Zanzibar,Durban hata kabla hawajaanza Safari Meli ilifanya tofauti inaweza ikashtakiwa sio rahisi kama mnavyozungumza hiyo Zanzibar inatangazwa Duniani kuliko mnavyodhania ndio maana mnadhani vitu vyake vinakuja kwa bahati mbaya...
 
Mkuu utakuwa uelewi au hujafuatilia nini kilitokea au kinaendelea hadi meli hiyo kuja Tanzania ndiyo mana umeandika hicho ulichoandika.

Please chini ya mada kuna link ifuatilie ujue, that is why nimeanika "Ijue story ilipoanzia"
Endeleeni kudanganyana wakati pana Kampuni zilikua zina wageni kwenye hiyo meli toka hizo Link zenu mnaanza kuandika mimi huwa nawaangalia mkidanganyana sana...pana vitu huwa najiuliza hamna exposure au kitu gani mpaka mnafikia kuandika uongo huo harafu na wengine wanafuta hayo madudu yenu yapo makampuni ya Utalii walikua washapata hela kutoka kwa hao wageni hata kabla hata safari haijaanza...
 
Hakuna kitu kama hicho Mkuu hizi meli za wageni hazifanyi huo upuuzi mgeni anaambiwa ataenda Zanzibar,Durban hata kabla hawajaanza Safari Meli ilifanya tofauti inaweza ikashtakiwa sio rahisi kama mnavyozungumza hiyo Zanzibar inatangazwa Duniani kuliko mnavyodhania ndio maana mnadhani vitu vyake vinakuja kwa bahati mbaya...
Screenshot_20230418-061453.jpg
Screenshot_20230418-061507.jpg
Screenshot_20230418-061521.jpg
 
Endeleeni kudanganyana wakati pana Kampuni zilikua zina wageni kwenye hiyo meli toka hizo Link zenu mnaanza kuandika mimi huwa nawaangalia mkidanganyana sana...pana vitu huwa najiuliza hamna exposure au kitu gani mpaka mnafikia kuandika uongo huo harafu na wengine wanafuta hayo madudu yenu yapo makampuni ya Utalii walikua washapata hela kutoka kwa hao wageni hata kabla hata safari haijaanza...
Watu kama wewe ni wachache sana au wapo ila hawataki kuwa kama wewe.

comrade upo vizuri, ila utakamilika kuwa Comrade kwa kunipa ushahidi, kuhusu hii meli kuwa ilikuwa lazima ikitoka nchini Kenya -Mombasa, ndipo inakuja Tanzania visiwani Zanzibar, vinginevyo nitakuona sawa na wale wenzako tu!.
 
Back
Top Bottom