Hatimaye Klabu ya Yanga imefutiwa marufuku ya kusajili

Hatimaye Klabu ya Yanga imefutiwa marufuku ya kusajili

Keshaliwa kichwa yule.
Ndiyo nimesikia anakuja yule Jonathan Sowah aliyekuwa Medeama!! Sasa yule jamaa na yale mahasira yake si atapigwa kadi nyekundu za kutosha sana na hawa akina Tatu Malogo wetu!!

Ila binafsi namkubali sana. Maana ni Bull Striker! Na kwa mfumo wa Yanga, ni rahisi kufit ukilinganisha na Joseph Guede.
 
Guede akiondoka Yanga mimi na mpira basi tena😣
 
Kuna kesi mbili mpya ya Okra na club yake jitahidini kabla ya kuanza kusikilizwa.
Tutalipa tu sasa. Hakuna nakna nyingine. Ila kumsajili mchezaji kama Okrah kwa milioni 120, na yenyewe yalikuwa ni matumizi mabaya ya fedha za klabu.

Hapa lazima tu niseme ukweli. Viongozi walichemka.
 
Sidhani kama watamuacha huyo Guede, na kama ikitokea wamemuacha basi naona sio maamuzi sahihi.
Taarifa za chini ya kapeti zinaonesha Jonathan Sowah aliyekuwa Medeama na January alihamia timu ya Al Nasry sijui ya Libya, amechukua nafasi yake.

Na kwa upande wangu naona ana unafuu kiuchezaji ukimlinganisha na Guede. The young man is a bull striker. Na miaka yake ni ni 25-26 tu. Huyu anaweza kuingia kwenye mfumo. Maana ni mpambanaji.
 
Sasa tutafanyaje!! Yule Guede alishindwa kabisa kujipapatua kiasi cha kizidiwa maarifa wakati fulani na dogo Clement Mzize.
Ongea uhalisia mkuu, Guede kacheza mechi ngapi na ana magoli mangapi? Ni straika yupi wa Yanga ana namba nzuri kuliko Guede? Sio Mzize sio Musonda wote hao kawakuta wamecheza mechi kibao na kawaacha kwa namba. Kaja katikati ya ligi lakini ana magoli sita.
 
Back
Top Bottom