Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
- Thread starter
- #41
Ni mtazamo tu Comrade. Ni kawaida sana wakati fulani kama binadamu, kutofautiana mtazamo.Ongea uhalisia mkuu, Guede kacheza mechi ngapi na ana magoli mangapi? Ni straika yupi wa Yanga ana namba nzuri kuliko Guede? Sio Mzize sio Musonda wote hao kawakuta wamecheza mechi kibao na kawaacha kwa namba. Kaja katikati ya ligi lakini ana magoli sita.