Hatimaye Kublat Pulev na Tervel Pulev watua nchini Tanzania

Anapigana na wasio na akili..

Hajampiga bondia yeyote anayejielewa.. Anapigana mchangani huko kwao Russia.
Ni kama huyu Mwakinyo wenu tu..
kusema kweli hadi leo mwakinyo sijaona ukali wake hadi aonekane ni mkali sana
 
Huyo mwambie kuhusu wakina zuchu na ggy
Ebwana nlipita siku moja kwenye gym ya mzazi respect naona vijana wanajifua sana
Na bongo mchezo ambao ungepewa promo sana ni ngumi maana watu wana gadhabu sanaa

Ova


Hahaha, wafundishwe kuziona fursa. Ku-lobby serikali kuhusu mahitaji yao. Kupewa elimu ya biashara. Ku -lobby kuwa na kodi zinazoeleweka, fair.

Iwe kwenye syllabus kabisa. Kwamba serikali haina uwezo wa kuajiri wahitimu wote. Kwahiyo inabidi wote wawe na back-up plan

Serikali can only employ may be 2% to 5% ya wananchi wote. Top 10%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…