Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
kusema kweli hadi leo mwakinyo sijaona ukali wake hadi aonekane ni mkali sanaAnapigana na wasio na akili..
Hajampiga bondia yeyote anayejielewa.. Anapigana mchangani huko kwao Russia.
Ni kama huyu Mwakinyo wenu tu..