Hatimaye leo nimefanikiwa kuchana vyeti vyangu

Hatimaye leo nimefanikiwa kuchana vyeti vyangu

543511.png
 
nilikuwa sifocus maana naviona kama plan B
Dooh hata sasa bado it's your plan B mkuu! maana ukiamua kuvipata tena inawezekana Necta na chuo wanakuprintia tena mbona. Sijui mi naona kama ungekua hutaki kuvitumia ungevihifadhi mahali!siku utapata deal hata huko mtaani litaloweza hitaji hivyo vyeti ukasumbuka🤷‍♂️. Kila rakheri
 
Aisee sawa kama unahisi ni uamuzi wa busara kwa sasa! Ila usije siku ukavikumbuka baada ya kutokea mchongo wa maana na vyeti ulishavichana. Kwani huwezi kuingia mtaani huku ukiwa umefungia kabatini hivo vyeti???
Hakuna dili lolote linalotokana na ajira ya kuajiriwa hata ulipwe milioni 30 kwa mwezi, labda vigezo vya ubunge na uwaziri Siku vibadilike wahitaji vyeti hapo ndio kutakuwa na dili.
 
Dooh hata sasa bado it's your plan B mkuu! maana ukiamua kuvipata tena inawezekana Necta na chuo wanakuprintia tena mbona. Sijui mi naona kama ungekua hutaki kuvitumia ungevihifadhi mahali!siku utapata deal hata huko mtaani litaloweza hitaji hivo vyeti ukasumbuka🤷‍♂️. Kila rakheri
Acha woga wewe! Kila siku kuvaa visiketi kwenye english figure na kwenda kwenye kazi za kuajiriwa unaona ni dili?
 
Dooh hata sasa bado it's your plan B mkuu! maana ukiamua kuvipata tena inawezekana Necta na chuo wanakuprintia tena mbona. Sijui mi naona kama ungekua hutaki kuvitumia ungevihifadhi mahali!siku utapata deal hata huko mtaani litaloweza hitaji hivo vyeti ukasumbuka🤷‍♂️. Kila rakheri
Sijajua kwasasa ila kipindi cha nyuma vyeti vya UDSM, UDOM, Makelele, Nairobi University vilikuwa vinaprintiwa U.K na kampuni inaitwa TUMCO so kukipata ukikipoteza ilikuwa na mlolongo
 
Sijajua kwasasa ila kipindi cha nyuma vyeti vya UDSM, UDOM, Makelele, Nairobi University vilikuwa vinaprintiwa U.K na kampuni inaitwa TUMCO so kukipata ukikipoteza ilikuwa na mlolongo
Ohoo inawezekana ni hivyo na huo mlolongo wake sasa! Unaambiwa ukachukue loss report police mara utangaze gazetini kama umepoteza! Sijui huyo alochana kwa makusudi tu ataambiwaje hapo na kuna gharama unalipia. Mimi siwezi kufikia kuchana aisee hata iwaje🤔
 
Back
Top Bottom