Hatimaye leo nimefanikiwa kuchana vyeti vyangu

Hatimaye leo nimefanikiwa kuchana vyeti vyangu

Tuonyeshe picha,ila mwenyewe mwisho kutumia vyeti vyangu itakuwa 2025.ila Mimi sitovichana nitaviweka kama ukumbusho.
Mkuu nimefikiria kuvichana kwa muda mrefu japo mwanzo niliwaza kuvirudisha institutions nilikosomea na daily nilikuwa natembea navyo kwenye begi nawaza pa kuviweka hatimaye nimechukua maamuzi hayo
 
Ohoo inawezekana ni hivo na huo mlolongo wake sasa! Unaambiwa ukachukue loss report police mara utangaze gazetini kama umepoteza !sijui huyo alochana kwa makusudi tu ataambiwaje hapo na kuna gharama unalipia.Mimi siwezi kufikia kuchana aisee hata iwaje🤔
Hata vya form 4, 6, na zile result slip walikuwa zile karatasi wanazitengeneza wao, baadae nadhani wakawa wanatengeneza vyeti kabisa, tofauti ya cheti OG na fake cha form 4 ilikuwa kwenye ile nembo ya taifa inang'aa pale chini, watuw alikuwa wanadhani mapambo kumbe ile ndiyo ilikwua inasomwa na machine maalum iliyoconnected kwenye PC yani details ilioandikwa kwenye cheti ile machine inazisoma kwenye ile nembo kikiwa fake ina maana haiwezi soma kitu kwakuwa ni pambo

Sijui kama mpaka sasa wanatengeneza wao haya mambo maana walikwua wana hadi tenda za vitabu vya cheque
 
Aisee sawa kama unahisi ni uamuzi wa busara kwa sasa! Ila usije siku ukavikumbuka baada ya kutokea mchongo wa maana na vyeti ulishavichana. Kwani huwezi kuingia mtaani huku ukiwa umefungia kabatini hivo vyeti???
Ni heri amechana maana Kama interview wangekuwa watu 1000 Sasa tumebaki 999, endeleeni kuongezeka watu wa kuchana vyeti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu nimefikiria kuvichana kwa mda mrefu japo mwanzo niliwaza kuvirudisha institutions nilikosomea na daily nilikuwa natembea navyo kwenye begi nawaza pa kviweka hatimaye nimechukua maamuzi hayo
Sikuungi mkono kuvichana, ila pia kwakuwa unajua huna vyeti akili yako itafunguka zaidi maana option iliyokuwa inakupa matumaini ushaiua
 
ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia olevel mpaka chuo tukutane mtaani guys
Hongera Sana Mkuu.
 
Acha woga wewe!Kila siku kuvaa visiketi kwenye english figure na kwenda kwenye kazi za kuajiriwa unaona ni dili?
Acha wivu na English figure yangu mkuu😛! Kwakweli mimi kwa sahivi ajira yangu ndiyo dili langu aisee huko ndiyo itapatikana startup capital ya madili mengine.

Ila kuhusu dili nilifikiria hivi, unaweza ukawa umejiajiri ukapata tenda ya maana ila sasa wanataka atleast kufahamu your level of education! Hapo si vyeti vitatumika sasa mkuu. ?
 
ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia olevel mpaka chuo tukutane mtaani guys
Labda hivyo vyeti vilikuwa hafifu hata unaona aibu kuviombea kazi au kuvutumia kwa chochote kile kwa mfano kupata mkopo wa vikoba. Kumbuka cheti siyo lazima kikusaidie kwenye ajira tu. Tuseme umebahatika kuokota shilingi laki tano. Ukazitumia kama mtaji wa kuuza maji ya ukwaju. Ukaendelea vizuri kuzalisha ukafikia kufikiria kuanzisha kiwanda kidogo cha maji baridi ya ukwaju na matunda. Unataka mashine ya kukamua matunda, na pia friji za kuhifadhia maji au vifaa vya kutunzia hayo maji. Unaambiwa uandike "project proposal" na kuambatanisha vyeti vyako vya uhitimu. Kama umechoma utaanza kuhangaika na baraza la mitihani/chuo kupata hivyo vyeti. Uliekosa kazi ni wewe na wala si vyeti vilivyokukosesha kazi. Fanya haraka kwenda kuhusikako upewe vyeti mbadala. Namba nikukumbushe maneno ya Mary Kay Ash "Never give up, because you never know if the next try is going to be the one that works".
 
Ule usemi wa woga wako ndo umasikini wako, ndo utatumika kwenye hii mada.
 
no sina mpango wa kufanya hivyo
 
ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia olevel mpaka chuo tukutane mtaani guys
Safiii
 
Back
Top Bottom