Hatimaye leo nimefanikiwa kuchana vyeti vyangu

Hatimaye leo nimefanikiwa kuchana vyeti vyangu

Ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia o level mpaka chuo tukutane mtaani guys.
Niuamuzi mzuri kwani hilo litakupa akili mpya ya kupambana kivingine bila kutarajia kuajiriwa.
 
Nawashangaa sana ambao hawakuamin wakat umerith biashara za mzee wako sahiv ww ndo boss.
Piga kaz mkuu choma kabsa vyet ni utumwa
 
Ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia o level mpaka chuo tukutane mtaani guys.
Tukomeshe mabaki ya vyeti ili tuamini kwamba kweli wewe ni juha kalulu
 
Vyeti ni myeyusho. Mimi nilidrop university baada ya kupata wazo la kufanya kutoka kwenye masomo niliyosoma huko. Sasa hivi najiandaa kuajiri watu wenye degree pamoja na masters zao halafu mimi ambae sina hata cheti cha degree nakuwa boss wao.
Naona hiyo ofsi itajaa wenye chura tu. Usimsahau na dada mwenye chura lake financial services 😀
 
Kamanda umekosa katuni ya kutupia?
5532890.jpg
 
Mbona nasikiaga haiwezekani kupata cheti Mara ya pili? Nasikia ni issue kweli kupata vyeti km umepoteza,Ila Sina uhakika na hiki
Kupata inawezekana ila sasa kuna mlolongo flani hadi upate tena shughuli pevu!kuna kwenda polisi!kulipia tangazo kwenye gazeti! Ndiyo uende baraza sasa😒
 
Ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia o level mpaka chuo tukutane mtaani guys.
Utajuta! Niliwahi kufikia karibu na hatua hiyo nikaja kuokolewa na Rabuka kupitia "Gifted Hand" na "THINK BIG" vya Ben Carson. Nilikuja kugundua kuwa kufanya hivyo ni kujilaani! Kujilaani ni jambo baya kuliko kulaaniwa
 
Back
Top Bottom