chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
- Thread starter
- #181
WHEN IT COMES TO SUCCESS YOU SHOULD HAVE ONLY ONE PLAN.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I HAVE ONLY ONE PLAN IN LIFE TO EMPLOY MYSELFMkuu chamaclotus una ujuzi gani, nina kazi kwako ila nataka uthibitisho wa vyeti vyako. Yaani uje kwenye interview na vyeti vyako bila hivyo usije.
Niuamuzi mzuri kwani hilo litakupa akili mpya ya kupambana kivingine bila kutarajia kuajiriwa.Ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia o level mpaka chuo tukutane mtaani guys.
thanks kwa kuelewaNiuamuzi mzuri kwani hilo litakupa akili mpya ya kupambana kivingine bila kutarajia kuajiriwa.
sawaaNi ishara ya dharau kwa waliokusomesha!
Utavikumbuka. Siyo kukosa ajira ni milele.nikimpa ndo ananisumbua na ajira so nishavichana
Kamanda umekosa katuni ya kutupia?
WHEN IT COMES TO SUCCESS YOU SHOULD HAVE ONLY ONE PLANUtavikumbuka. Siyo kukosa ajira ni milele.
kazi napiga mkuu japo sijarithiNawashangaa sana ambao hawakuamin wakat umerith biashara za mzee wako sahiv ww ndo boss.
Piga kaz mkuu choma kabsa vyet ni utumwa
Tukomeshe mabaki ya vyeti ili tuamini kwamba kweli wewe ni juha kaluluNi jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia o level mpaka chuo tukutane mtaani guys.
Naona hiyo ofsi itajaa wenye chura tu. Usimsahau na dada mwenye chura lake financial services 😀Vyeti ni myeyusho. Mimi nilidrop university baada ya kupata wazo la kufanya kutoka kwenye masomo niliyosoma huko. Sasa hivi najiandaa kuajiri watu wenye degree pamoja na masters zao halafu mimi ambae sina hata cheti cha degree nakuwa boss wao.
Kamanda umekosa katuni ya kutupia?
Chura nimtolee wapi mimi mkuu! Na amegoma kunipa nafasi ofisini kwake sababu sina chura maskini😀😀Naona hiyo ofsi itajaa wenye chura tu. Usimsahau na dada mwenye chura lake financial services 😀
Kupata inawezekana ila sasa kuna mlolongo flani hadi upate tena shughuli pevu!kuna kwenda polisi!kulipia tangazo kwenye gazeti! Ndiyo uende baraza sasa😒Mbona nasikiaga haiwezekani kupata cheti Mara ya pili? Nasikia ni issue kweli kupata vyeti km umepoteza,Ila Sina uhakika na hiki
Embu acha masihara chura lote lile. 🙄Chura nimtolee wapi mimi mkuu! Na amegoma kunipa nafasi ofisini kwake sababu sina chura maskini😀😀
Utajuta! Niliwahi kufikia karibu na hatua hiyo nikaja kuokolewa na Rabuka kupitia "Gifted Hand" na "THINK BIG" vya Ben Carson. Nilikuja kugundua kuwa kufanya hivyo ni kujilaani! Kujilaani ni jambo baya kuliko kulaaniwaNi jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia o level mpaka chuo tukutane mtaani guys.