Hatimaye leo nimefanikiwa kuchana vyeti vyangu

Ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia o level mpaka chuo tukutane mtaani guys.
Picha tuvione kwelii vimechnika
 
Hatari....
 
Kama ulikua una pata Dv 4 na chuo una GPA ya 2.9 umechelewa saana kuvichana, ungechana miaka minne iliopita
 
Lost report kwani ni sh ngapi?
 
Ni jambo ambalo nimekuwa nalifikiria mara nyingi kuchana hivi vyeti maana vinanitia hasira sana hakuna vilichosaidia kwa miaka minne leo nimechana rasmi kuanzaia o level mpaka chuo tukutane mtaani guys.
Umevumilia sana siku zote hizi kwahyo ulikuwa unasubiri hela mara moja kwa mwezi kama unaenda period.shida ya wengi ni uoga.karibu kwa wanaume
 
Kawadanganye wajinga wenye akili tunajua ni uongo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…